Kwahiyo, CHADEMA pia kina mtumia tu Mzee Lowasa. Mbowe anajua kuwa sasahivi ndani ya CHADEMA hakuna mtu mwingine ataweza kukubalika kwa wananchi katika uchaguzi ujao. Lakini CHADEMA kinasahau kwamba hili jambo zima la UKAWA ni jambo la Katiba na sio jambo la uchaguzi .. nao kwa hili...
Lowasa awe mwangalifu na watu walio mzunguka na watakao endelea kumzunguka. Natumaini katika mikakati yake yeyote na mstakabali wake wa kisiasa kama bado upo awe mwangalifu bila kuchanganya mambo.
Pamoja na mengine mengi.. jambo kubwa lililomfanya aka anguka tokea wakati jina lake lilipo...
MICHUZI BLOG: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora Alternative point of views to framing the topic and associated arguments
VIJIMAMBO: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora
These are interesting arguments...
MICHUZI BLOG: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora Alternative point of views to framing the topic and associated arguments
VIJIMAMBO: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora
These are powerful views for the Diaspora.... jisomee mwenyewe
VIJIMAMBO: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora
MICHUZI BLOG: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora Alternative point of views to framing the topic and associated arguments
Junior -
Pointi nzuri uliyosema hapo. Kwahiyo kama vyama vingine ni pandikizi wa CCM then Slaa inabidi awe mtulivu na mwenyekufikiri kwasababu anafahamu mbinu za CCM. Huwezi kumwendea pupa mtu mwenye mbinu chafu na katiba ya nchi ina upenyo anaoweza kuutumia. Ndio maana nasema kwamba kama...
Ng'wanagwa - Kinehe ng'wanawane ulimhola ? Angalia, mbona unasemea wengine, unaridhaa yao ? , Hivi kumbe wewe post ili watu wa changie tu? is that the only option ? kama hujatambua bado, Unafikra tofauti na mimi and thats OK vilevile. Sitafuti sifa humu kama wewe naandika inapobidi tu... nipo...
Tena kwa anayo yafanya sasahivi Dr. Slaa atajipotezea umaarufu wake wote aliojijengea wakati wa kampeni, we angalia Lyatonga yupo wapi kwasababu ya kubwabwaja - Watanzania sio wajinga bwana hata kama ni masikini. Mwalimu Nyerere hakufanya kazi ndogo. Nina mweshimu sana Zito Kabwe. Yeye katulia...
Hii Habari hapo chini ni safi sana nimeitoa huko ippmedia.
1) Mimi nina support mapendekezo ya a much more independent Electoral Commission
2) Kuungana upinzani ili kuiondoa CCM kwani inanuka
3) Na kuandika constitution mpya
Haya ndio mambo ambayo Dr. Slaa angeyawekea maanani kwa...
Ban congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls
By The guardian reporter
8th November 2010
United Nations Secretary-General Ban Ki-moon
United Nations Secretary-General Ban Ki-moon has congratulated President Jakaya Kikwete and all Tanzanians for the peaceful 2010...
1) Hakuna ushahidi wa kura kuibiwa (ndio maana nasema huu ni ubabaishaji na uzushi). Tatizo ni kwamba watanzania tunapenda sana majungu, uzushi, umbeya baseless. Just because he was met by big crowds in campagn meeting haimaanishi kuwa zile ni kura - Unajuaje watu walikuja kusikiliza anachosema...
Ninaadika kwa masikitiko kwasababu mwanzoni nilikuwa nadhani Dr. Slaa ni kiongozi imara, nimegundua kuwa kumbe ni mbabaishaji na anajiharibia kazi yote aliyo ifanya katika kampeni yake. Nilikuwa sikubaliani na sera zake lakini niliona kuwa anakitiia changamoto CCM.
Lakini kwa haya anayo...
THANK YOU ----Butola kwa kumuelewesha huyo jamaa. Kuna watu humu wanaleta jazba bila kuelewa. Vilevile wanaleta vurugu za kwenye keyboard hata social issues za Tunduru hawazijui ---- Ni rahisi sana kukaa kwenye keyboard na kuanza kulalama.
Mutwale - Ahsante kwa ujumbe wako. Kukubali tatizo ni mwanzo wa ufumbuzi wake. CHADEMA ni chama cha ukoo na ukabila ndio maana vyeo fulani chadema haviwezi kushikwa na mwingine. This can last only briefly... kwavile sio sustainable. Vyama vya namna hii ndio baadaye vinaweza kuleta mpasuko...
Nami pia napenda kuungana na wewe kumpa Dr. Slaa pongezi za dhati kwasababu amewashikisha adabu CCM na kwamba kutokana na yeye kugombea uraisi na kura alizopata natagemea CCM watajifunza. Ingawa sera zake zingine sikubaliani nazo. Lakini kawashikisha adabu CCM.
Well, CHADEMA kabla ya kutegemea kufanya mambo makubwa inabidi iangalie misingi ya chama chake - Kwa mawazo yangu structure ya CHADEMA is not sustainable. In a short term CHADEMA can succeed but not in along term, it is doomed to fail - Inabidi kuwa na diversity kwenye Uongozi wa hiki chama...
Nina anadika kama Mtanzania ninayeipenda sana nchi yangu na ambaye nimekuwa na kiu sana ya kuona matokeo ya kuwa na vyama vingi vya siasa. Kwasababu vyama vingi vya siasa vinawezesha kuwa na mchakato (badala ya kuwa na ya aina moja) wa mawazo ambao utaiwezesha nchi kuwa na maendeleo.
Kwa...
Jamani,
Tanzania Kuna Kenya Commercial Bank. Imefunguliwa kabla ya hii jumuia kuundwa. Je Kuina benki gani ya kitanzania nje (kwa mfano), au kuna tawi gani la biashara kubwa ya kitanzania nje ya nchi ya Tanzania ?. Kwani kinachoizuia Tanzania au wafanya biashara wa Ki-tanzania kufanya hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.