Haujasema kitu kipya Pascal. Mifumo na taratibu zetu za uchaguzi ni zilezile. Matokeo pia hasa ya urais yatakuwa yaleyale. Kilichokuwa kinatakiwa ni 'ushindi' wa 90% au zaidi. Huo nao utapatikana tu.
Raia wa nchi hii mwenye umri wa miaka 18 anapiga kura wakiwemo wanajeshi, polisi, magereza, uhamiaji, zimamoto na wengine wote.
Wasichoruhusiwa askari wetu ni kujiunga na vyama vya siasa na kufanya siasa ingawa wanaipenda sana CCM.
Moderators hamtendi haki kuunganisha posts. Hili la kufikiri kwa niaba yetu members wenu sio sahihi. Mnaviza na kufifisha fikra zetu. Acheni tabia hii. Kama post haina wachangiaji inajiondoa yenyewe.
Moja ya mambo yaliyosababisha nikawakimbia kwa muda mrefu ni hilo la kuunganisha mawazo na...
Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Naomba niwe mjumbe wa Tume/Kamati itakayochunguza sakata hili la TShs 1.5Tr. Nitaanza na Mikutano Mikuu miwili ya CCM ilivyogharamiwa baada ya Mwenyekiti wa CCM kukataa fedha ya wafadhili wake wa miaka yote. Kuna ule MkutanoMkuu uliofanyika kumchagua na ule wa Uchaguzi MKuu ndani ya CCM.
Baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.