Habarini wanajukwaa,
Kwa wenye uelewa wa namna gani nafasi za maafisa ofisi ya Rais Ikulu ambao kila uchwao tunaona wakipangiwa majukumu mengine, zinajazwaje naomba aniambie.
Ni utaratibu gani unatumika kuwapata?
Kila Kona ya nchi Sasa ni mtetemo na mtikisiko ikienda sambamba na tabasamu la kumalizika Kwa miradi iliyoanzishwa wakati wa utawala wa Hayati Magufuli. Ni juzi tumeambiwa mtambo namba 8 wa kuzalisha umeme katika bwawa la JNHPP umewashwa na kuwashwa huko tatizo la umeme litapungua Kwa 85% ,hii...
Serikali jukumu lake ni kuregulate mifumo mbalimbali katika nchi na sio kuzalisha hivyo suala lolote linaloenda sambamba na uzalishaki Serikali au Waziri Kwa ifahamu wangu mdogo hatakiwi kulaumiwa.
Sometimes ,Serikali pia inabidi iwe mzalishaji badala ya regulator na lengo kubwa ni kusaidia...
Huwezi kumuacha mtu Kwa sababu ya hayawani ambaye hujui chanzo wala asili yake. Pengine alikuwa anakusaidia kuiondoa tatizo kubwa sana huko mbeleni bila wewe kujua na pengine unafuga jini au pepo hatari bila wewe kujua.
Na hapa nikipima uwezo wako wa kufikiri na huyo mwanamke naona huyo...
Mimi ni shahidi wa ushawishi wa Lowassa ,na nikiri kusema ushawishi wa Lowassa haukuwa wa kawaida hata kidogo. Nilikuwepo kwenye kampeni za Lowassa 2025 handeni, kwanza handeni hakuna upinzani kabisa ila Ile nyomi aliyojaza Lowassa 2015 ilikuwa balaa. Yule ni jabali
Tukio Moja kubwa lililompa amani na furaha Hayati Magufuli ni Lowassa kurudi CCM maana ushawishi wa Lowassa ungeendelea kuibeba sana CHADEMA. Lile tukio la kumpokea Lowassa nililiona tabasamu halisi kabisa la Hayati Magufuli. Mungu awalaze mahali pema, hakika walikuwa ni mashujaa wasisahaulika...
" Pilato akaandika Yesu Mnazeleti mfalme wa Wayahudi, wakamuuliza Kwa nini umeandika hivyo? Pilato akajibu nilichoandika nimekwishaandika"
Tafakari ya hayo maneno ni kwamba mtu mkubwa anaposema na kutenda historia umeandika na kutenda alichoandika hivyo basi Alichosema Rais Samia ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.