Search results

  1. J

    Dugange Amshukuru Rais Samia Kurudisha Tabasamu Masaulwa

    Naibu Waziri Ofisi wa Tamisemi, Dk Festo Dugange amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe. Dk Dugange ametoa shukrani hizo wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi...
  2. J

    Unakumbuka nini wakati unafanya mtihani wa Kidato cha Nne

    Sintosahau paper limevuja, tukafanya solving usiku mzima, kuingia kwenye mtihani kitu chenyewe kabisa, ile imefika nusu saa tukaambiwa tusimame wakakusanya makaratasi yao wakatugawia mtihani mwingine, nusu ya darasa tuliangua vilio
  3. J

    Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN

    Leo Jumapili tarehe 20 Agosti 2023, Dominika ya 20 ya Mwaka A wa Kanisa Waraka wa Maaskofu wa Katoliki Tanzania umesomwa katika makanisa mengi nchini, lakini kinachoniogopesha ni "clip" hii ya Sheikh Mussa Juma akitoa mawaidha ameeleza waziwazi kuwa Wapinzani na Maaskofu wanaomsakama Rais Samia...
  4. J

    LHRC, Hakielimu zaridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya haki za binadamu unaofanywa na Serikali

    Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu. Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja...
  5. J

    Askofu Mwamalanga Amsifu Rais Samia Kuifungua nchi Kibiashara

    Viongozi wa dini wamemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuifungua nchi kibiashara kwa kuwajengea wote wenye nia ya biashara kuingia kufanya hivyo, huku akiondoa vikwazo vinavyonyima fursa. Akizungumza kwa niaba ya viongozi wenzake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Masheikh ya...
  6. J

    TIA Wamshukuru Rais Samia kwa kuwaimarisha Kitaaluma

    TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia kiasi cha Sh bilioni 7.8 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la taaluma. Hayo yamesemwa jana mjini hapa kwenye maonesho ya kilimo yanayofanyika eneo la Nyamhongolo katika Manispaa ya Ilemela na Mkuu wa Taasisi ya TIA...
  7. J

    Dkt. Mpango: Vijana changamkieni fursa zinazotolewa na Rais Samia

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan ili kujipatia kipato pamoja na kukuza pato la nchi. Ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo ya Nanenane leo Agosti 01, 2023 yanayofanyika katika...
  8. J

    Nyanya Zinapatikana Kwa Wingi Sana Sokoni Ilala

    Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri. Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku. Akizungumza...
  9. J

    Tume ya Haki Jinai yataka uchunguzi mali zilizotaifishwa

    TUME ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai imependekeza iundwe timu kuchunguza utata katika baadhi ya mali zilizotaifishwa katika utaratibu wa vikosi kazi na mashauri ya kukiri kosa ili kuishauri serikali ipasavyo. Katika muhtasari wa ripoti ya tume hiyo, pia imependekeza Ofisi...
  10. J

    Vituo vya afya 807 nchini kujengewa wodi za wagonjwa

    Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali omesema itaanza ujenzi wa wodi za kulaza wagonjwa katika vituo vya afya 807 nchini kikiwamo Kituo cha Afya cha Kihangara wilayani Nyasa. Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Nyasa, Stella Man-yanya (CCM) bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri, Ofisi ya Rais...
  11. J

    Nia njema ya Rais Samia isitiwe matope

    Kitabu cha Biblia, kinatanabaisha kuwa msingi mkubwa wa kutenda dhambi ni tamaa. Biblia inawataja binadamu wa kwanza Adam na Hawa kuwa kilichowafanya kutenda dhambi ya uasi kwenye bustani ya Eden ni tamaa ya kutaka kuwa sawa na Mungu. Licha ya Mungu aliyewaumba kuwapa kila kitu, lakini aliwapa...
  12. J

    Serikali kujenga majengo ya kuhifadhi na kuhudumia zana za BBT

    Serikali imefikia uamuzi wa kutekeleza mradi wa Building a Better Tomorrow (BBT) unaolenga kuongeza ushiriki wa vijana katika kilimo kwa kuwapatia mafunzo, maeneo ya mashamba, mitaji na kuwaunganisha na fursa za masoko. Ambapo utekelezaji wa mradi huo ni matokeo ya maagizo na maelekezo ya Mhe...
  13. J

    Serikali iungwe Mkono Kutengeneza Ajira Milioni 8 Sekta ya Kilimo

    JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
  14. J

    Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  15. J

    DAWASA yatangaza kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu Jumamosi April 15

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023. Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
Back
Top Bottom