Bosi, mazungumzo aliyozungumzia Rais bado hayajaanza. ACACIA na subsudiary zake za Bulyanhulu na Pangea wametoa notisi ya arbitration kwa serikali chini ya mikataba waliyojiwekea. ACACIA wako tayari kwa mazungumzo na watashiriakana na BARRICK kuona mazungumzo yanafaniliwa. Lakini kwa sasa...
Hii si ni notice ya arbitration? Ndivyo kesi kwenye mahakama za kimataifa zinavyoaanza. Acacia wanakusudia kufungua kesi huko kama mazungumzo yasipozaa matunda kwa upande wao.
Wakristo, baada ya Agano Jipya, wana sheria moja tu -"Mpende jirani yako kama mimi (Yesu) nilivyowapenda ninyi". Sasa wapinzani wetu wa kisiasa ni majirani zetu. Na ili maombi yetu mbele ya Mungu yafanikiwe, ni lazima kwanza tuwe tumepatana na jirani (kama tumekosana). Sasa sijui - huu ukristo -...
Nahisi Mpango nye atatumbuliwa. Aliongea na Rais kabla ya kusema kuwa serikali itakopa? Yaani tununue ndege kwa cash halafu bajeti iendeshwe kwa mkopo? Mpango is not serious?
Kwenye nyekundu yaweza kuwa kweli kwa wakati fulani tu na sio kila mara. Katika kesi ya Lema sheria (kwa maana ya substantive law) wala haijatumika. Wanachobishania ni taratibu tu (procedural law). Ndio maana nimesema ni upuuzi kumshikilia mtu rumande kwa miezi miwili na ushee ili wanasheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.