Tuwaache Zenji waende,wakiendelea si watatusaidia washirika wao wazamani na tutawaiga?Nendeni.Ila shida zikiwazidi MUSIRUDI!
Nendeni,Maelezo yamenukuliwa toka kwa prof wa Uchumi,sie twabwabwaja tu!
Wajameni Hasninnyo anachohitaji ni ushauri, endaeleeni kumshauru vizuri dada yetu kabla mambo hayajaharibika.Nimegundua humu wengine wanamshauri vizuri,amependa hata mie nimependa lakini wengine wanamjadili mtoa mada na kushambulia,Lengo lake ni ushauri wana jf
Katika thread hii nimefaidishwa na CV ya Makamba (Hajui "ung'eng'e")
Nafasi ya watanzania kuongea kiengereza ni tatiza la kihistoria,
Waarabu walipokuja walikitumia kiswahili ktk utawala,biashara,dini,nk. Hivyo walikieneza toka pwani kuelekea bara.
Wajerumani na baadaye Waingereza walipokuja...
Nashukuru sana X-Raster kwa mfano wako hapo juu ingawa unathibitisha maelezo yangu kuwa "HAKU" kutokana na muktadha wa neno la muuliza swali SIO NENO KAMILI bali ni mofimu mbili katka neno HA-KU-CHEZ-A ambazo hazipaswi kuwekwa pamoja na kuwa "HAKU" kama ulivyoeleza hapo awali pamoja na maelezo...
"hatutaki wabunge wa zanzibar kwenye kamati isiyokuwa ya muungano"
Tunalenga off target!
Tudai katiba mpya itakayorudisha Tanganyika,madai km haya:
sijui wabunge wa zanzibar wanachaguliwa na wapigakura wachache yatakufa kabisa!
Tatizo ni la katiba,tumo katika Muungano ambao wengi hatuuridhii...
Naam,mwandishi anasema, "Ushauri wangu ni huu: Kila chama kiende vyake. Mpinzani wa kweli atajulikana baadaye."
Time will tell,tusubiri tuone, mwisho wa ngebe utaonekana!
"Kilaza" ni tafsiri SISISI ya neno la kiengereza "lay man" lenye maana - mtu wa kawaida, asiyekuwa mtaalamu.
Neno hilo limepanuliwa kimatumizi ili kukidhi haja ya watumia lugha kama watangulizi walivyoeleza maana yake.
Hivyo ukisema Malariasugu ni kilaza ina maana sio mtaalamu (hasa katika...
Nashukuru kwa maoni
Naomba nichangie tena:
1. KIPALA
a) Maoni yako unaposema 2/3 zinataja jambo lile lile "kutaja nafsi ya pili -umoja" tayari umeshataja dhima mbili:
i) Nafsi ya pili
ii) Umoja (idadi)
Ndio maana nikazitenganisha hapo awali 2/3 katika maelezo yangu.
2. X-PASTER
" HA na...
KU- HUWEZA KUWA NA DHIMA ZIFUATAZO:
1. Kudokeza wakati uliopita katika tendo linapokuwa katika ukanushi
mf: Hakucheza
2. Kudokeza mtendwa jambo (nafsi ya pili - wewe)
mf: amekupiga wewe
3. Kudokeza idadi (umoja)
mf: amekuona (umoja) wingi : wamuwaona
4. Huweza kuwa ni sehemu ya mzizi...
Zilikuwa ni sauti za chini chini zilizosikika hapo awali kuhusu matatizo katika muungano, lkni sasa kilio kimekithiri mpaka 'mkuu wa kaya' kudiriki kuunda wizara ya kushughulikia kero za Muungano.Hata hivyo kila uchao malalamiko ya kila upande;yaani Zanzibar na Tanganyika yanazidi kuongezeka...
Ku- inaweza kuwa na dhima kadhaa katika maneno lkn inategemea muktadha,
kutokana na mfano ulioutoa,kimofimu, dhima yake ni hiyo uloitaja tu.Ikitokea
katika muktadha tofauti ndo huweza kubeba dhima nyingine,
Chama si mtu, yeyote aletaye pumba aende tu....
Haiwi dini zinaendelea bila kuwa na walazileta,
Chama ni watu wenye mawazo safi na mitazamo bora kwa kizazi kijacho
na wala sio vizabizabina,
TANGULIA DOGOOO!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.