Hawa jamaa wa MSD wanatumiwa kama scape goats tu..as usual..funika kombe mwana haramu apite. Hichi kiwanda kinatakiwa kifungwe kabisa..sio kisimashe kutengeneza hizo dawa feki.
Pili,isn't a BIG conflict of interest kwasababu inasemekana Mama Madabida ni board member wa MSD. Hiyo haijakaa vizuri...
Inasemekana Katibu mwenezi 'alijaribu' kuchakachua matokeo ili kumpitisha mmoja wa wagombea kwa maslahi yake binafsi.
Wagombea wengine walibaini njama hizo wakaomba kura zihesabiwe tena..ziliporudiwa ndipo zilipogundulika njama hizo.
Hizi ni habari za ukweli? Mwenye datazz amwage tafadhali..
Classic! Everything mentioned is true and the sad thing is the clowns have been doing it for so long and they performance have gotten worse with time, now they don't even put any effort in their mockery hence an abysmal performance!
Press release ya White House on JK's visit..
THE WHITE HOUSE
Office of the Press Secretary
____________________________________________________________
FOR IMMEDIATE RELEASE May 19, 2009
Statement by the Press Secretary on the visit of Tanzanian...
Mkuu.....kwa kawaida huwa nakuaminia sana.....ila kwenye hili...umekosea kabisa!
Jaji hajawahi kumtishia balozi yeyote kumlipia mwanaye...rent wala gharama nyingine yeyote...
Nafikiri hii ni mojawapo ya zile story za kijiweni.....
Ukimjua vizuri hayuko hivyo unavyomdhania kabisa......
Ahsante.
Baadhi ya picha za watuhumiwa wakiwa mahakamani ziko....
Hizi hapa:
Kutoka kushoto Lavendra Vinod Bhai, Amith Nandi na Jant Kumar wakiwa mahakama ya kisutu mchana huu. Wanatuhumiwa kuchota bilioni 10 kila mmoja.
..hawa nao wamo, kushoto ni Bw. Johnson Mutachukurwa Rwekaza anayedaiwa kuchota...
Hizo nyumba zinazoongelewa hazikuwa ni nyumba za serikali....as in GTZ...ninavyoelewa zilikuwa ni nyumba za mashirika ya umma na wakati anazinunua zilikuwa zinauzwa through public auction na kutolewa zabuni....(baada ya mtindo huo kulalamikiwa) ndiyo ukabadilishwa na sasa wafanyakazi na waliomo...
Pole kwa familia nzima ya Makamba, Mungu awape faraja na kuwatia nguvu katika hiki kipindi kigumu.
Pia, Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi marehemu.
Mkuu hiyo ziara haijaisha.....kwa mujibu wa ratiba ya ziara yake....anaelekea Sauzi kesho kuhutubia bunge la huko halafu atarudi Tabora kumalizia ziara.
HabariLeo: Gwiji la habari Tanzania | Kikwete aanza ziara Tabora
Chinese corruption law targets lovers and families of officials
Children, spouses and lovers could be jailed for more than seven years as scams reach new levels of sophistication
Chinese authorities could put the lovers, spouses and children of corrupt officials on trial under new rules, a...
Alivyopata mualiko wa kwenda US on a state visit, inaelekea ilibidi wabadili hiyo mipango mingine maana nafikiri atakuwa huko kwa juma zima la wiki ijayo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.