Atakayekuwa Waziri yafaa awe na sifa hizi:
1. Awe ni mtu mnyenyekevu,
2. Awe hana rekodi yeyote ya wizi, upendeleo wala ushirikina,
3. Yafaa awe MZALENDO na mtu ambaye kweli tukimwangalia na kufuatilia maisha yake, hakuna chembe ya shaka kuwa ni MZALENDO na mwisho,
4. Awe na uwezo wa kusimamia...
Bwana Sanctus Mtsimbe,
Nakupongeza sana kwa mawazo mazuri. Napenda kuongeza au kutahadharisha yafuatayo:
1. Kabla ya mawazo haya hayajawa implemented, lazima kuundwe THINK TANK la wataalam wa sekta zote (kilimo, ufugaji, uchumi, siasa, madini na gesi, intelijensia ya kimataifa na kitaifa...
Ni kweli, naunga mkono hoja.
Sasa ni wakati wa kutaja majembe mengine popote pale yalipo ambayo yalifichwa na watawala waliopita kimizengwe na majungu. Kumbuka, unapotaja mtu, eleza na sifa zake kidogo ili mh aweze kuona kama anasoma hapa JF. Taja, Jina, Wizara aliko na nini anafanya au alifanyiwa!
Yawezekana kuna sababu za kiintelijensia zilizoifanya serikali kumzuia huyu bwana. Pia inawezekana kwa cheo chake lazima aombe ruhusa Ikulu hata kama anaenda likizo kwa pesa yake. Hivyo, tusilaumu kabla ya kujua undani. Tumpe support JPM kwa nia yake njema na Taifa hili...
Mzee Tupatupa wa Lumumba DSM,
Aisee umenistua sana. Kwamba hata naibu spika naye yumo! Mamaaa! Yafaa ajipime kama viatu hivyo anaweza kuvivaa kwa sasa......
Mzee Tupatupa, asante kutujuza.
Mwaka huu watu watapata kiwewe! Hahahaha!
Sasa kila Wizara ikichambuliwa hivi, mfano Nishati na Madini na Wakuu wa Idara zake na wasaidizi wao walivyopatikana, itakuwaje? Je, TAMISENI? Mhhhhh! Waachieni wazee wa suti wafanye mambo yao. Hawa jamaa nawaaminia sana, sema mfumo ulopita, uliwaudhi...
1. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere ana NIA NJEMA na UZALENDO,
2. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere, anasimamia kwa dhati ANACHOOMINI,
3. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere, anahuruma na wa Tanzania wanyonge,
4. Magufuli ni mwanafunzi wa Nyerere, yupo tayari kumfunga fisadi jela na kumchapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.