Nampongeza Diamond kwa moyo wake wa kujitolea. Lakini ingependeza kama Diamond angevaa mavai ya Kitanzania mfano mgololi wa Kimasai badala ya hayo mavazi ya Kinageria. Natambua mavazi is a personal choice lakini kwa muda nimekuwa nahisi Diamond pamoja na mafanikio makubwa kwenye sanaa ya muziki...
Habari njema na nipenda ziwe za kweli, kweli tu. Lakini kwanini taarifa zinatoka siku moja baada ya CNN kureport kuhusu wanajeshi 141 wa Kenya waliouwawa na serikali yao ikakaa kimya?
Naona Kenya wameamua kuwekeza kwenye vita endelevu na al-shaabab. In all probability, wakichukua hicho kipande Kenya will never be at peace, shaabab watawapigisha kwata mchana na usiku milele.
Historia haitunzwi kwa sababu tu inaeleza mambo mazuri, bali inatunzwa kwa sababu inaeleza matukio muhimu ambayo vizazi vijavyo vinatakiwa kujua ili kuepuka au kuboresha mambo fulani kwa ustawi mzuri wa jamii.
Tanganyika ilishiriki vita vya dunia na baadhi ya washiriki walipoteza maisha. Hata...
Hadi sasa naweza kusema rais Magufuli amefanikiwa jambo moja kubwa, amefunua unafiki wetu sisi Watanzania. Kwa muda mrefu watu walikuwa wanalalamika kuhusu mambo mengi mfano, rais anasifiri sana, serikali haikusanyi kodi, warsha na semina zimezidi. Sasa kaingia Magufuli na kufanya kweli, ghafla...
Kwa kutumia mfano wa 3,800, zidisha mara watu 2,500,000 halafu mara 12 ndio utajua ni punguzo kiasi gani. Halafu jaribu kusema hiyo gap utaziba na nini wakati huo huo kuna wabunge wanataka serikali hiyo hiyo irudushi warsha na semina?
Hivyo nyie ADC mnapendekeza nini?
Hiki ndicho kitu kilikuwa kinakosekana Tanzania. Mtu akiwa kiongozi mfano waziri, basi familia nzima nayo inakuwa ni mawaziri. Walau sasa tutaheshimiana.
Rais anakuwa na daktari mmoja tu, vipi huyo daktari naye akiugua? Na nani anayeteua daktari, mgonjwa mwenyewe ana sauti katika mchakato wa kumpata daktari wake? Nauliz tu...
Natoa pole za dhati kwa Tundu Lissu na wanafamilia wote kwa huu msiba mzito. Dada Christina anaondoka akiwa bado kijana sana na hakika anaacha pengo kubwa kwa familia na jamii ya Watanzania. Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema na awape nguvu wote waliofikwa na msiba huu mzito.
CHADEMA wajitahidi kutoa habari zenye mantiki. Hivi inaingia akilini kwamba Freeman Mbowe tangu ajiunge na CHADEMA miaka ishirini yote amekuwa anajitolea? Kwamba hata posho ya kununua maji ya kunywa hajawahi kulipwa na Chama chake kwa miaka yote 20?
Halafu wanasema hata viongozi wengine nao...
Naona kampeni ya bomba la mafuta sasa inashika kasi.
Halafu report inamtaja Patrick Rutabanzibwa, kama Katibu mkuu wizara ya Nishati. Huyo baba watu amestaafu sijui miaka mingapi sasa.
Hebu ndugu zetu wakenya kuweni wataarab kidogo.
JokaKuu,
Kumbuka usemi unaosema kwamba 'every politics is local'
Zenawi ameifanyia mambo mazuri Ethiopia, lakini kama ilivyo kwa shilingi upande wa pili wa Zenawi nao una mambo tofauti. Ndani ya Ethiopia kuna wanaomuona kama 'brutal ruler, wengine dikteta na wengine wanamuongelea kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.