Hata kwenye nchi tunazoziita za kidemokrasia, siasa za mitaani utaziona wakati wa kampeni na uchaguzi, kipindi cha uchaguzi kinapomalizika siasa zinahamia kwenye mabaraza ya madiwani na bungeni. Inashangaza Tanzania siasa na maandano ya kila siku kuwa sehemu ya ajira kwa mwanasiasa.
Nadhani wanaosema ni Udikteta kuwaambia wabunge wanaotaka kukwambisha bajeti kwa maslahi yao binafsi hawajui wanalozungumza. Wabunge wanaruhusiwa kuhoji serikali na kuchangia bajeti ikiwemo kuipinga kwa ajili ya kuiboresha kwa maslahi mapana ya taifa, na sio kuikwamisha kwa maslahi binafsi kwa...
Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani, ndio mkuu wa utumishi wizarani, yaani idara zote zilizo chini ya wizara yeye ndio mkuu, hii achilia mbali wadhifa wake kijeshi ni Meja Jenerali.
Aidha alikuwa mwalimu UD au Msajili wa Mahakama kuu. Baadae alipoteuliwa alikubali kwa vile mzazi wake alishafariki ambayo ndio msingi wa kukataa uteuzi wa kwanza kujipa muda wa kumuhudumia mzazi wake.
Marehemu Jaji Mkude alikataa uteuzi wa kuwa Jaji wa mahakama kuu zaidi ya mara mbili, na sababu kuu ilikuwa afya ya wazazi wake ilihitaji uangalizi wake wa karibu sana, asingeweza kutimiza majukumu makubwa ya nafasi ya ujaji katika hali ile.
Salamu za mwezi mtukufu ndugu zangu. Naomba kuchukua nafasi kuulizia kwa wale wenye uzoefu, kuhusu malipo ya wakili pale unapotaka akusimamie mkataba wa mauziano ya nyumba, kuna kanuni yoyote katika upangaji wa malipo kwa wakili anayesimamia mauziano?
Ulipotaja jina la ENL, Kingunge, Mgeja na wengine kama sehemu ya watu wanaowakilisha kundi la CCM asili, andiko lako zima limekosa mantiki. Kwa kukusaidia tu, rudi kasome kuelewa historia, msingi, kanuni na imani ya chama cha TANU na baadae CCM kwanza kabla hujaja na kutuelea Lowassa...
Sijaona mahali Zitto anashtakiwa au kuitwa kwenye kamati ya maadili kwa sababu ya msimamo wake wa kupinga Bunge kuonyeshwa live. Anaitwa kuhojiwa kwanini ameonyesha dharau na kupinga mamlaka ya spika. Utovu wa nidhamu ni utovu wa nidhamu, hauna uhusiano na msimamo au imani ya Mbunge. Aende...
Hii ndio product ya waandishi wa voda fasta, cha kushangaza waandishi kama hawa wanatakiwa kutumbuliwa na vyama vyao wenyewe kwa sababu madhara wanayosababisha kwa watu ni makubwa, lakini wamekuwa wakitetewa kila siku na vyama vyao bila kuangalia uwezo wao kitaaluma na kimaadili.
Bila shaka wewe ndio haufahamu utaratibu wa uendeshaji wa kanisa. Mchango unaotolewa kwa sababu fulani unaweza kuhojiwa na mtoaji wa mchango kama ulitekeleza kile alichochangia, na kimsingi kama muumini anaweza kutumbua uongozi wa kanisa kupitia Baraza na Walei parokia. Kisichoweza kuamuliwa na...
Mkuu unapozungumzia Mawaziri wawili ndani ya wizara moja ni tofauti na kuwa na mawaziri wawili kwenye wizara mbili. UNapozungumzia Wizara unazungumzia Makatibu wakuu, wakurugenzi , wakuu wa vitengo na wafanyakazi. Ni rahisi sana kuwa na mawaziri wawili kwenye wizara kuliko kutengengeza wizara...
RIP kaka Tito, Songea inakulilia, Dar Inakulilia na Tanzania inakulilia. Umeondoka bado kijana huku Taifa likiwa na mategemeo makubwa kwako. Nimeumizwa sana na taarifa za kifo chako, kwani si muda mwezi uliopita tulikuwa wote Dodoma na kunishauri vingi. Bado nakumbuka siku zile tulipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.