Kwa hilo mkuu mimi kama ningekuwa na mshiko wa kutosha ningahamia hata nchi nyingine. Sielewi kwanini hawa jamaa wameamua kututawala kwa nguvu wakati siye hatuwaependi. mungu sikia kilio chetu, sisi wanao tunateseka katika nchi yetu. JK na wazee wenzake akina Kiravu na lewisi makame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.