Tulikosea sana pale ambapo form four failures na standard seven leavers walipokuwa wanaingia chuo cha polisi, ndo imechangia tumekuwa na jeshi la polisi la kipumbavu unakuta mkuu wa kituo elimu yake ni la saba, unadhani atakuwa na maamuzi ya msingi au kukaa tuu na kupokea rushwa badala ya...
Bunge hili hili ndo matumaini yetu yamelalia hapo lakini ndo Bunge hilo hilo la wala rushwa.
Hivi wananchi hatuna power ya kuvote for NO CONFIDENCE to every leader?
Hapa tulipofikia sasa, RAIS + W/MKUU + MAWAZIRI + WABUNGE = 0
Nani anabisha?
Kuwa upinzani haimaanishi kukubaliana na mawazo au maazimio ya wapinzani wenzio mara zote, nao wabunge wa upinzani they are entitled to their own reasoning. Wapo wano muappreciate PInda na wapo wasio muappreciate, kadhalika kwa CCM, so tusihoji hapa kwanini wapinzani wote hawajaunga mkono hilo...
Kwa kufanya hivyo ibilisi atakuwa ameshinda kwani hiyo ndio nia yake, tumepewa utashi na tumeumbiwa msamaha ili tumshinde shetani.
Ushauri wangu:
Mume amuombe msamaha mkewe
Mke amuombe msamaha mumewe
Wote wawili watubu dhambi hiyo kwa Mwenyezi Mungu
Mume atambulishe watoto wa nje ya ndoa kwenye...
Kufuatia kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila, chama cha NCCR Mageuzi sasa kinahaha kumwondoa kwenye ubunge baada ya kumshinikiza Spika Anna Makinda amwengua katika uwakilishi wa jimbo hilo.
Taarifa zilizopatikana mwishoni mwa wiki, zilisema NCCR Mageuzi imemwandikia barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.