Ninajua kwamba sijaandika kila kitu na siwezi kuandika kila kitu. Nimeweka high level info ili wenye interest waniambie tuongee zaidi, wengine wameniandikia pembeni na wengine wamenipigia tumeongea,.
In case iko na interest nicheck pembeni au call me kwa maelezo zaidi, ukipata maelezo utaamua...
Hello Josephat,
niambie kitu gani exactly ungependa kujua, kama ni kitu ninachoweza kuandika hapa nitafanya hivyo kama sio kitu nitakachoweza kuandika basi itakua unfortunate.
Inahusu huduma za malipo, nipigie simu/nipe contacts zako kwa maelezo zaidi
niambie what exactly ungependa ni-elezee, kama ni kitu kinachofaa kuweka public nitafanya hivo mkuu.
Habari ya Asubuhi.
Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika wa biashara kutoka pande zote za Tanzania.
Kwa high level, biashara itakua na mfumo huu.
1. Kila...
Dunia nzima ndio iko hivo.
wengine huwa na option ya flexible ticket ambayo inakuwezesha kubadili tarehe ya safari bila malipo ya ziada, ila flexible tickets are normally more expensive than tickets za kawaida.
Msichana wa kusaidia kulea watoto anahitajika haraka, mmoja ana miaka minne na wa pili ana miaka miwili.
Jumatatu hadi ijumaa kuna mtu mwingine wa kufanya usafi na kazi nyingine za nyumbani, msichana ayehitajika anakua na jukumu la kutunza watoto na kupika.
Msichana ataishi pamoja na sisi...
1. hii mada niliiweka June 2014, miaka miwili kabla wewe hujaijua JF.
2. Kama umeendesha gari, hata kama ni la kuazima, lazima utajua a difference btn 50kph na 57kph ni negligible.
3. kuna kitu kinaitwa common sense, umewahi kukisikia?
Hawa jamaa wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu (heslb) wako busy kwenye vyombo vya habari kuwaambia watu wajitokeze kwa hiari la sivyo wao watafika nyumba kwa nyumba, watatoa picha kwenye magazeti na mambo kama hayo.
Lakini ukijaribu kuwapata kwa simu zao +255-22-2772432/3 simu inaita mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.