Sio rahisi hivo. Matumizi ya Drone swams yanaweza kusababisha SAMs na infantry ziwe useless kwenye vita. Tayari vita ya Ukraine imeshaonyesha umuhimu wa Drones kwenye modern warfare.
Hata laser weapons zimebadilisha sana uwanja wa vita kwani unaweza kutuma kombora na likalipuliwa kwa laser...
Division II ya point 10 hata Medicine anaweza kusoma katika chuo chochote Tanzania, such as MUHAS, UDSM, Bugando, KCMC nk.
Kama ana point 11 au 12, inaweza ikawa ngumu kusoma Medicine, but anaweza kusoma other medical courses kama Pharmacy, Micro Biology, Molecular Biology etc.
Kwa hali ya uchumi wa dunia unavyokwenda, kuna uwezekano kwamba ndani ya miaka kumi hadi ishirini ijayo US Dollar itapoteza thamani yake kwa kiwango fulani, hasa kutokana na uwezekano wa mataifa mengi kuanza kupunguza USD reserves wakiogopa kutendwa na Marekani alichotendwa Russia.
Kwa sababu...
Huku kwetu (Southern hemisphere)kukiwa msimu wa baridi (winter) huko Ulaya (Northern hemisphere) kunakuwa msimu wa joto (summer).
Kwahiyo, Bara Ulaya wanaingia msimu wa joto ndani ya wiki tano zijazo, wakati sisi tunaingia msimu wa baridi ndani ya kipindi hicho.
It is unlikely for the rational investor kutumia pesa yake kwenye uwekezaji kama huo...hiyo most likely ni borrowed funds. Otherwise, zitakuwa pesa za ufisadi kweli.
Shida ya hii nchi ni imperial presidency, na haikuanza leo bali ilianza tangu zama za Mwalimu Nyerere.
Imperial Presidency imevifanya vyombo vyote vya serikali, ikiwemo TISS, viwajibike zaidi kwa maslahi ya Rais kuliko kulinda maslahi mapana ya taifa. Mbaya zaidi, hata Bunge na Judiciary navyo...
Kama vita ya Ukraine itaendelea, itabadilika na kuwa guerilla warfare. Sio rahisi kushinda guerilla warfare na adui ambae uko ndani ya taifa lake, kwasababu hata raia wa kawaida wanapigana hii vita kitu kinachofanya iwe ngumu kabisa kutofautisha mtu mbaya na mwema kwako. Hata Marekani alishindwa...
Yaani TZ ni wepesi sana kuingilia maamuzi ya nchi zingine, ila wao wakiingiliwa wanaziita chokochoko na ubeberu.
Kama Slow Slow katumwa na serikali aseme haya aliyosema, inabidi serikali ijitafakari maana kuna kila dalili za kupoteza muelekeo.
Swali la kujiuliza ni kwanini Denmark haijafunga...
Picha ninayoiona ni kwamba Mama amekabidhiwa the fake enemy (mboe and cdm) apambane nao ili muda wake upotee bure bila kuwa na strategy ya maana kumjenga kisiasa ndani na nje ya chama, while the real enemies are within his own party. Clearly, kuna kundi ndani ya green party halimtaki mama 2025...
Kweli mke wa mtu anaweza kuwa mchepuko wa mwanaume mwingine. Uhuru hawakupaswa kufanya uzembe huu wa kiuandishi, unless kama wanatumikia maslahi ya kundi tofauti na rais ndani ya chama.
DED ni kama Managing Director wa Wilaya, kwahiyo elimu peke yake haitoshi. Inahitajika uzoefu mpana wa kikazi ili mtu awe na minimum requirement za kuwa DED. Mafungu yote ya matumizi ya serikali yanasimamiwa na DED. Na idara zote nyeti katika ngazi ya wilaya ziko chini yake.
Hili la kum-designate mboe kuwa ni gaidi limeshafuta tumaini lolote jema kwa Mama. Mama amejipaka kinyesi kwa mikono yake mwenyewe, and it will take time for her to come clean on this. It is very likely kuwa atakuwa ameweka msingi wa mageuzi ya kweli nchini kwa hii mbegu aliyoipanda juzi.
It is...
Ulichokielezea hapa ni kitu muhimu sana katika Economics, kinaitwa Purchasing Power Parity (PPP). PPP ya Tanzania ni kubwa kuliko ya Kenya, kama ulivyoeleza, kwasababu actual purchasing power ya pesa ya Tanzania ni kubwa kuliko nominal value yake. Actual purchasing power ni uwezo wa pesa kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.