Search results

  1. M

    Car4Sale Toyota Premio inauzwa

    Price check with me kwa namba hyo Plate Number ni C
  2. M

    Car4Sale Toyota Premio inauzwa

    Gari inauzwa Toyota Premio Engine kubwa Ina upungufu wa Real Lights, side mirrors, powerwindows baada ya wez kufanya yao. Gari iko Dar Es Salaam For serious buyers: Check with 0782676842.
  3. M

    Hivi afisa habari wa CHADEMA kwa sasa ni nani?

    Makene alishaondoka CDM kitambo sana.Nadhan mke wake Susan Maselle ana mchango mkubwa kuondoka kwake.
  4. M

    TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Je vipi kuhusu Mwanasheria Mkuu wa Serikali?Na kwa nn leo kaitisha kikao cha Baraza la Mawaziri endapo baraza halina legitimacy?
  5. M

    Computer4Sale Laptop HP on sale

    Mkuu kwamba gari mpya halipati ajali?Laptop ilokuwa kwenye bag ikapata mgandamizo ndo ikapata crack coz kuna mtu mwingine aliwema mzigo wake juu ya begi la PC
  6. M

    Computer4Sale Laptop HP on sale

    Ina miezi sita
  7. M

    Computer4Sale Laptop HP on sale

    Negotiation room available
  8. M

    Computer4Sale Laptop HP on sale

    800,000 mkuu
  9. M

    Computer4Sale Laptop HP on sale

    Location: Dar Es Salaam Contact: 0673209622
  10. M

    Computer4Sale Laptop HP on sale

    Location: Dar Es Salaam Contact: 0673209622 800,000
  11. M

    Kipi kimemkuta Godfrey Tumaini (Dudu Baya/Konki Master)?

    Dudu Baya yuko Geita kuna wadogo zake wako huko mmoja anafanya kazi mgodini so alienda huko karibia kila day yuko club moja inaitwa Bever anakula nyahi mdogo mdogo.
  12. M

    Uchaguzi 2020 Nani anafaa kuwa Mbunge wa Karagwe?

    Nimekuwa nikifuatilia siasa za Karagwe tokea uchaguzi wa mwaka 2015 ambapo ndugu Innocent Bashungwa alichaguliwa kuwa Mbunge wa jimbo la Karagwe. So far siajona kitu alichofanya kwani wananchi wamezidi kulia kwa ugumu wa maisha including kilio cha wakulima kuhusu bei za masoko ya mazao yao...
  13. M

    Kinachoendelea CHADEMA ni ‘Civil Disobedience’

    Hivi ww Mramba Mbowe alikukosea nn
  14. M

    Usafiri wa kwenda Bukoba 22/12/2017 kurudi 03/01/2017 kwa bei nzuri

    Hyo si ndo nauli ya Dar Bukoba.Na pia unadhan kila mtu atapenda kurud trh 3 wengine kabla wengine baada
  15. M

    Historia ni Mwalimu Mzuri: Siku Profesa Kighoma Ali Malima alipoondoka CCM...

    Ninasikitika sana nimaposoma maoni ya mwandiahi mashuhuri kama Maggid lakn akiandika kama ameanza uandishi juzi.Ama kwel kuna watu maslahi yao yanapokuwa mbele huandika bila kuangalia je upande mwingine ambao hakubaliani nao ameyaweka maoni yao katika mizani.Kipind cha Malima na kipindi cha...
  16. M

    Katibu wa Mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi ajiuzulu

    Hii barua alieitunga amekosea makosa ya wazi kabisa ambayo hata mie niliefeli uandishi wa barua naweza yaona makosa ya wazi.Nasubiri kanusho la aivyo huyu katibu ni mtu wa ajabu asiejua hata kuadress mhusika.
Back
Top Bottom