wewe ulijuaje kama huyo mtoto ni wa kwake ilihali huyo mwanamke ana mume wake? je, una uthibsho kuwa yo mto I wakoa si wa mumehuka? aise ili kuleta amani kaa kimya milele, ila muombe Mungu akusamehe na kukufanya usahahu
kwanza kosa kubwa unalo wewe mwenyewe, kwani ulishajiwekea masharti hutaki kuoa mwanamke aliye na mtoto sasa ilkuwaje ukaanza kuishi na huyu mama wa watu. Na lengo lako hasa lilikuwa ni nini maana ukishaanza kuishi na mtu jamii inatambua huyo ni mkeo, sasa wewe ulilkuwa unawaza nini?
Kwanza...
Mimi naamini ni kweli mtoto wa miaka hiyo anaweza kuuliza swali hilo. Watoto wa siku hizi wanaenda shule wakuwa wadogo sana. Ila huyo inaonyesha ni genius. Tuwatunze vizuri watoto wetu
Mimi naona maisha ya ndoa ya wazazi wako yamekuadhiri kisaikolojia, unahitaji ushauri tu na kutiwa moyo.
Ni kweli kuna watu wanajuta kuoa/kuolewa na wenzi walionao kutokana na mifarakano ya hapa na pale na isiyoisha, ila watu hawaishi kuoa/kuolewa eti kwa vile kuna mifarakano kwenye ndoa fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.