[B][I]
Duh hii Kali! ni Kiongozi gani huyu aliyerukwa na akili mwaka 2014 bila kujulikana? kama yametokea haya basi hatari sana maana mtu anaongoza watu kumbe ni mwendawazimu?
Waziri keshakanusha Bungeni kuwa watuhumiwa hawakunajisiwa! sijui lini alifanya uchunguzi huo huku akitangaza tena kuwa watachunguzwa! mheshimiwa Waziri anajichanganya na kwa hakika anachojaribu kufanya ni kuwa huenda walionajisiwa wanatabia ya kupenda kunajisiwa na pia anatangaza rasmi kuwa...
Aliyekuwa waziri na mbunge wa moshi mjini 1975-1990 Muhidini Mfaume Kimario hatunae tena! tunamuombea pepo na kuwapa pole wafiwa. Kimario tutamkumbuka kwa kumaliza tatizo la maji moshi mjini miaka ya 80-90!
Kisheria UKAWA hawawezi kuitisha maandamano sababu sio chama cha Siasa kilichosajiliwa! na kwa mujibu wa sheria za Polisi vyama vya upinzani haviruhusiwi kufanya maandamamano kwa mkupuo kwa sababu za kiulinzi! hivyo inabidi maandamano yafanyike kwa kupokezana!
Kumbe maswali yako yote uliyotaka yapate majibu lengo lako ni kumdhalilisha Profesa Lipumba? we unaonekana unachuki zako binafsi dhidi ya Lipumba! kwa kukusaidia kujibu maswali yako kwanza huna budi kumwomba radhi Profesa Lipumba halafu urudi tena ukumbini lakini safari hii ukiwa na adabu na...
kitendo cha polisi cha kuwadhalilisha watuhumiwa ni unyama uliopindukia! kama Serikali yetu inajali haki za binaadamu na kuheshimu utawala wa sheria basi iwachukulie hatua za kisheria wale wote waliohusika na ukatili huo! kinyume chake wananchi tutakosa imani na Serikali hii ya CCM!
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, akishuka kwenye ndege ya ATCL mjini Mogadishu, Somalia, juzi
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
NDEGE ya Tanzania inayomilikiwa na Shirika la Ndege la ATCL, imetua nchini Somalia huku hofu ikitawala kuhusu usalama wake.
Kwa mujibu wa taarifa za ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.