Pole sana kaka!
kwanza mtu kama huyo ulitakiwa kumripoti polisi, pia shukuru Mungu hukumtumia hela lazima ingeliwa tu. Inabdi watu muwe makini sana hawa matapeli ambao wanatumia vigezo vya uhaba wa ajira kujitengenezea vipato
Hi wapendwa,
Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume,niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi karibuni tu kuwa ninapomaliza kupee bao la pili kichwa kinauma balaa .
Yani naweza shinda usiku...
Kwa muda mwingi tanga bunge kutoa mapenedkezo kuhusu watuhumiwa wa account ya ESCROW mama huyu amekua akiongea sana na hata kujisifu kuwa Hela aliazopewa hazina shida ni mchango tu kwa shule yake na wala asingeweza kukataa.Pia jana ameongea na waandishi na kujisifu kua hawezi kujiudhuru kwani...
Umeamini sasa!!
Kama meseji ni kitu cha muhimu eeh! Watu zaidi ya elfu 1000 wote kuwapigia simu si masihala!! ndo mana kuna hizi push mobile ambao wana huduma ya kutuma Mesage nyingi at par.
HAKIKA KIKWETE ANA KAZI MNO KATIKA KUTATUA TATIZO LA VIJANA WA KITANZANIA KIMTAZAMO, MKUU NADHANI UMESAHAU KUWA KUWA KUNA WATU WANAFANYA KAZI HATA KWA KUVOLUNTEER, NA HAYO UNAYOYASEMA MI NAYAPINGA KABISA KWANI HUO NI MWANZO WA KZI MKUBWA UNGEWAULIZA WENZIO WALIOPO KWA NAFASI ZA CAHIEER WANALIPWA...
kaka mimi nilichikua kamkopo kangu AccessBank hakika hawana masharti mengi na wanatoa mikopo kuanzia laki 1, na kwa muda mfupu kabisa! mi nadhani ni wakati wa kwenda kuwatembelea hawa jamaa wako vizuri kwa wajasiriamali tofauti na mabenki ambayo umeyataja hapo juu,. Kwa sasa NMB si ya makabwela...
Usijali kaka nenda AccessBAnk Tanzania limited ( ABT) ni kwa ajili ya wajasiriamali wadogo wadogo , akaunti ya biashara utafungua kwa kiasi kidogo kabisa cha shilingi elfu 50, na utaweza kupata kitabu cha hundi kwa shilingi elfu nane(Kurasa 25) au elfu 15 ( kurasa 50).
Mjomba masharti yao ni...
kwa majibu yako dada Judith natamani tuonane, mana inaonesah ni msichana mwenye hekima please send me ur contacts through private message. Hapa sitanii am serious
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.