you got it right mate, world transition from unipolar to multipolar world ndio trigger ya haya yanayoendelea kwenye regime change. ila France ana wakati mgumu aiseeh, ni kama mwanamke amekuchoka halafu hutaki kuachika
ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka...
Ukifautilia hii vita unaona kabisa kuna tofauti ya shabiki wa ngumi za Mandonga anayetafasiri vita vya Russia na Ukraine, hii ni vita inayoenda kuibadilisha dunia kutoka Western giants wakiongozwa na US na UK mpaka kupata NATO ya 'ASIA PACIFIC' ambao wanajivunia populations kubwa ambayo ndio...
Ms. Siriel Shaidi Mchembe Specialist of Social Protection and Women’s Entrepreneurship, Institute of Financial Management, United Republic of Tanzania Ms. Siriel Shaidi Mchembe is a District Commissioner at Gairo District, Morogoro Region Tanzania. She is a Deputy to H.E Hon. Samia Suluhu Hassan...
Kwa hili kama linaleta mjadala nadhani watanzania wenzangu hususan vijana tunaanza kukosa maarifa ya msingi, kusoma vitabu ni hobby kama walivyo walevi wa pombe na ngono, kuna anayekunywa bia mbili na mwingine pampula.
Kuna wasomaji wazuri tu wa vitabu na wanajulikana huwa wanasoma mpaka zaidi...
Ninahitaji mtaalamu wa nyuki kuendesha na kusimamia kalenda ya ufugaji nyuki, uvunaji na packing. Awe na elimu ya Diploma au cheti na uzoefu wa mambo ya nyuki na awe tayari kukaa shambani kwa zaidi ya asilimia 60 ya muda wake.
Nyumba ya kuishi ipo na huduma za msingi zinapatikana kwa mazingira...
Research yangu ya kwanza umesoma vitabu vingapi ambavyo ni fact book au biography vya hao uliowataja hapo juu, manake ukianza na Bill Gates yeye anajijua ana kipaji cha biashara na ameajiri hao hao maprofessor na madoctor wasome wakiendeleza biashara yake, haina maana kwamba ana akili kuwazidi...
Huu uzi umevamiwa, sio lazima uchangie kila post yawezekana hii sio size yako, kuitwa Prof au Dr ni lazima upitie mchujo wa shule ya msingi, upite mchujo wa shule ya sekondari, upite mchujo wa chuo kikuu, umalize degree ya kwanza etc!! haina uhusiano na pesa. Hawa wasomi ndio wamezifikisha nchi...
Potrait picture ya Che Guavara ndio picha inayoongoza kwa umaarufu ikifuatia picha ya potrait ya Yesu, yaani potrait ya Yesu ni maaruf zaidi ikifuatiwa na potrait ya Che Guevara, ndio maana Maadui zake walimuua na kumpoteza kabisa ili isijulikane amezikwa wapi kwani kuna watu walikuwa kama...
Masanja Kadogosa yuko vizuri ni mmoja wa vijana wanaowakilisha vyema vijana wengine kwenye awamu hii ya Tano, wanafanya kazi zinaonekana, akaze zaidi tuone mafanikio ya hii kazi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.