Kweli kabisa hawataki madogo wafike walipo wao utafikili watapunguziwa mishahara yao,Yani unakuta inshu ndogo tu mtu kasharudishwa mwaka ,halafu hata wao wenyewe utendaji kazi wao ni wa kawaida hawana uwezo hata wa kupata nafasi Katika nchi zilizoendelea,tatizo roho mbaya,tamaa,chuki za ovyoovyo...
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
Naskia physics kwenye afya sio pana sana kama chemistry na biology,labda engineering ko labda akienda nje atakuwa vzr zaidi maana hata elimu ya nje itampa exposure zaidi na kujifunza maisha mengine
Duh kumbe alibaliki
Hivi E na D inatofauti gani maana kwenye cheti chake zote wameandika ni principle pass,na zinawiano sawa,kwn E inaanzia ngapi na kuishia ngapi Kwa A level
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.