Search results

  1. K

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    Da!!! braza mimi mwenyewe tangu mwaka 2021 niko singo,,,nilipigwa 2kio la ajabu kama yule bondia aliyekufa zanzibar!! kwa kifupi pamoja na kuishi na mke wangu kwa miaka ishiri na kuzaa watoto wanne kkujenga nyumba kadhaa,,,lakini alinipiga 2kio lilinigeuza kuwa mlevi mpaka leo hii,,,kazini...
  2. K

    Haya ni madini gani?

    lete nikuwekee
  3. K

    KERO Taa za Barabarani (Solar) zilizofungwa na TANROADS Sumbawanga Mjini zina mwanga hafifu unaoweka Kivuli badala ya kuangaza

    wee unafikiri sumbawanga mchezo nini?,,,,,,,,,unataka izo taa zimulike mawizadi?????,,,kule pikipiki fisi,ndege ungo,fuso kasongo!!!
  4. K

    Kwanini Watu Bado Wanaendelea Kuomba Kwa Nafsi za Wafu?

    wachaga wanawaomba wafu alafu wanapiga ela balaa!!!!!,,,,,,,,nyie endeleeni kuomba wafu wa kiarabu na kizungu ndo mtajua hamjui"ZIMWI LIKUJUALO HALIKULI UKAKWISHA"
  5. K

    Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    da!!! nina hamu ya kunywa KISAMRT aka KISUNGURA!!!,,,,nileweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!! mpaka nikalale porini!!
  6. K

    Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

    sasa da!!! utelezi noma sana!!!!,,,,,,,natamani niteleze kama kambale!!!
  7. K

    Kiundwe Chama cha Watu Wenye Akili Tanzania

    wa2 wenye akili nyingi ni machizi"there is no genous without a mixure of madness".....ARISTOTOLE said
  8. K

    Makabila yanayoongoza kuwa na wanaume wenye sura nzuri Tanzania

    wanaume wanaume wa hivi wanaliwa kiboga!! sura nzuri kuliko snura!!
  9. K

    Hivi Waafrika hatuna akili?

    waafrika tuna akili sana,angalia pyramids za misri,kulikuwa na biashara kubwa sana mangaribi ya afria wakati huokukiwa na tajiri mkubwa mansa musa,unaambiwa ata mayahudi asili yao ni afrika,ata malikia wa sheba alizaa na mfalme daudi,,,unaambiwa ata YESU mwenyewe jamaa wanasema ni mzungu lakini...
  10. K

    Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

    na mganga akimwona mlokole anatamani ampige ROBA ya mbao!!
  11. K

    Atolewa uvimbe wa Kilogramu 5.5 kwenye mfuko wa mayai katika Hospitali ya Mwananyamala Dar

    Da alaf unakuta kuna mjinga mmoja anatamani kujiua kwa kukosa penzi la mama huyu!!!
  12. K

    Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

    Alaf wanafikiri kupiga pasi nguo,na kunyoa ndevu ndo ulokole!!!,,,,,,,,ila wazinzi kinoma!!! mlikole anayeishi sinza anaenda kuzini mbagala na mlokole wa mbagala anaenda kuzini sinza!!!........alaf wana majungu balaa!!!
  13. K

    Kuna tetesi Dunia inafikia ukomo, Masiha anarudi?

    wewe piga kazi jamaa!!! mwisho wa dunia ni kifo chako,hao jamaa wa USA wanapigwa matukia ya majanga ya asili na MUNGU kwa sababu ya kuendekeza USOGA,USAGAJI na KUbadili JINSIA!!,,,,,,,wapumbavu sana hao jamaa!!
  14. K

    Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

    age is just a number,,kuna dogo ana miaka 16 yupo pale kivu ya kaskazini amekomaa kuliko wewe mazee!!
  15. K

    Nipo geto tu sielewi mwenye mchongo wa hela jamani

    wee jamaa umezibua macho,,,miguu imepakwa mafuta ya nazi!!,,alaf miguu ina manyoya laiiiini!!
  16. K

    Kwanini Walokole wanaamini Kila gumu wanalopitia ushirikina umehusika?

    sawa bro!!! iko siku utaelewa!! ngoja ukue
Back
Top Bottom