Tuache ujuaji sana wakurungwa wakibongo.
Mlijadili kwamba aangaliwe na apewe ajira zimamoto, sasa amepewa na bado mnakosoa kusema ajira haitamnufaisha.
Na angepewa zawadi tu Vila ajira serikalini mngesema serikali Ina uzandiki inawakataa watu na kuendeleza vijana wenye vipaji.
Hata kama akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.