Nafikiri kitu cha msingi ni katiba mpya ambayo itweka utaratibu wazi wa kuwapata viongozi wa TISS otherwise hata huyu nahisi sidhani kama atamaliza miaka 2. Sidhani kama ni sahihi kuwabadilisha hawa viongozi kila Raisi anavyojisikia ,utaratibu wa kuwaweka ni mwepesi sana na ndio maaana hata...
Simba ina mkurugenzi wa Ufundi ??? au Riasi wa heshima ndio mkurugenzi wa Ufundi
Kwa miaka 4 iliyopita Simba ilikuwa inafanya makosa makubwa kwenye usajili mkielezwa mlikuwa mnabisha
now angalieni msije mkaendelea kufanya makosa yaleyale
Hizi story hatujaanza kuziskia leo,nakumbuza interview ya Magori baada ya kuwasajili Sakho na Banda.I think Simba walipaswa kupata kocha kwanza ambaye atatoa aproval ya huo usajili
Punguza fiksi ,Wydad hajacheza Fifa Club World Cup kuanzia 2025 ndio Africa itawakilishwa na timu zaidi ya moja.Kinachosababisha hayo ni Ahly kushiriki mashindano mengi na kufika level za juu zaidi ukilinganisha na wengine
kama wangetolewa mapema kwenye CAF Champions league au wasingeshiriki...
So far Liveball ndio only reliable app ambayo inayotoa statistics za ligi yetu na wanajitajidi sana ingawa bado kuna vitu hawana .Sijakuelewa unaposema sio official una maana gani?
Hakuna aliyekuzuia ku-develop app yako ukaita official
Not in particular order
Kimbia-Babuu feat Langa & Mox
Story 3-Jay Moe
Bongo DSM-Prof J
Pure Number-One Incredible
Mimi-Geez Mabovu feat Chid,FID,Jay Moe
Hawatuwezi-N2N
Alikufa kwa Ngoma-MwanaFa
Sauti ya Jogoo-Niki Mbishi
Mtazamo-Afande feat Prof & Solo Thang
Homa ya Dunia-Solo Thang
Hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.