Hii kazi nzuri sana...sasa kuna haja ya hizo tshirt kuwa na maandishi makubwaaaaaaaa!!!! yaani hata mtu yupo mita mia aweze kusoma na yasiwe ya kufichika fichika...
Hahahaha naona Nguli kwa makusudi umeamua kumpotosha Zion...ona sasa...LOL!
Buji wll husiana na huyu jamaa ni kwamba yupo tu sema upepo wa mafanikio unatembea against yeye...sema nadhani kuna juhudi binafsi zinafanyika kuhakikisha ya kwamba kijana anarudi katika ramani ya bongo...
Hahahaha naona Nguli kwa makusudi umeamua kumpotosha Zion...ona sasa...LOL!
Buji wll husiana na huyu jamaa ni kwamba yupo tu sema upepo wa mafanikio unatembea against yeye...sema nadhani kuna juhudi binafsi zinafanyika kuhakikisha ya kwamba kijana anarudi katika ramani ya bongo flava..tumuombee...
Safari njema kwa Former Kamanda Kafulila...suala la kadi inabidi tu arudishe, kuna mantiki ipi kung'ang'ania huku akisema ya kwamba kajivua uanachama? Husiana na suala la Kombati hilo hakika si mali ya Chadema ila tunatakiwa kufahamu kwamba Mahusiano ya Kafulila na kuvaa Kombati yalitokana na...
Kigogo, kama ningekuwa nataka kuchukua simu za kubadilisha na tuzo points 10,000 ningekuwa nazo zaidi ya nne....niko interested zaidi na zawadi kubwa kabisa. Ahsante.
Nikiwa kama mteja wa Vodacom kwa kipindi kirefu, nilijiunga na utaratibu mzima wa tuzo point toka kipindi ulipoanzihwa na nikawa najikusanyia points nia na madhumuni ni kwamba nikusanye point nyingi zaidi ili nipate zawadi kubwa. Ni zaidi ya mwaka sasa natumaini umepita.
Kipindi chote natumia...
Whatever it is he will pull through... Wakoloni walishachukua sana sema tu bahati mbaya he got caught up. He is not called Dr for nothing and he will sure roll the dice once again!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.