Search results

  1. BornTown

    Chia Seeds - Kilimo na Masoko

    Naomba kujua zinachukua muda gani kulima hadi kuvuna, na je kuna madawa yanaytumika au yanashambuliwa na wadudu wa aina gani kingine chia seed zinastawi kwenye ukanda gani zinahitaji maji mengi ama wastani, ungetufanunulia vizuri ili utupe motisha nasie tungie kwenye hicho kilimo
  2. BornTown

    Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Unapofanya TT kuna msg inayokufikia kukuonyesha kuwa kuna TT imefanyika kwako kupitia bank yako husika, kila asubui cooperate customer unapochukua bank statement kwenye bank yako husika lazima ungeona hiyo statement ya TT, kama hajapata msg ya any transaction ni kwamba hakuna kilichoingia
  3. BornTown

    Bunge lamjibu Mbowe, ladai pesa wametuma hospitalini tarehe 20 Sept sababu hawakuwa na akaunti ya hospitali

    Agha Khan foundation ni institute kubwa sana EA ukienda any bank utapata account number, ukigoogle unapata namba zao za simu, wanajua amelazwa hospital gani why wasipige simu wakaomba kuongea na watu wa accounts department...... kingine kwenye banks zetu kunakitu wanaita TT(transfer...
  4. BornTown

    Nyumbani kwangu kuna n'ge

    Tafuta kwenye maduka ya dawa za kilimo
  5. BornTown

    Nyumbani kwangu kuna n'ge

    Tafuta dawa inaitwa DIAZNON changanya na maji or mafuta ya taa inauwa wadudu wote ni kali mno angalia isingie kwenye vyakula or maji ya kunywa mtaondoka na nyie
  6. BornTown

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Dawa ya kuacha sigara chukua mavi ya mbwa yaliokauka yapekeche yawe unga halafu ule unga nyunyuzia kwenye sigara zake hakikisha ule unga wa mavi ya mbwa unaingia kwenye ile tumbaku akija kuvuta atapaliwa sanaa natokaa arudie kuvuta sigara maisha
  7. BornTown

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Maziwa ya mama anaye nyonyosha ama ya nguruwe kamulia kidogo kwenye glass wakati anakunywa bila ya yy kuona, but kuwa na maji pembeni na glucose maana atatapika sana hadi utamuonea huruma
  8. BornTown

    Bashite/Startv: Waandishi wa habari mjiepushe na utakatishaji habari/taarifa(news laundering)

    Duh! nimekumbuka ule wimbo " Masela nitoke vp....." o_Oo_Oo_O
  9. BornTown

    Rais Magufuli azindua rasmi mradi wa Magari ya Mwendokasi kwa awamu ya kwanza

    Haya kazi kwenu maana magari , bajaji na pikipiki yakikamatwa njia ya mwendosi yapelekwe police wanatoa matairi maana kazi yao sio kul matairi .....:D:D:D:D
  10. BornTown

    ECOWAS wabaini kemikali ya sumu Ikulu ya Gambia

    DUh !! yaani binadamu ni mdudu wa kuogopwa kuliko viumbe vyote duniani, yaani mtu anadiriki kuweka sumu kuuwa binadamu mwenzio kisa madaraka!!:mad::mad::mad::mad: Halafu huyu rais alietoka si ni alhaji alikwenda kuhiji macca? waliompa hifadhi ya kisiasa wamrudishe kwake hafai hata kufadhiliwa...
  11. BornTown

    Mavazi ya wauguzi mahospitalini yanawatia wagonjwa majaribuni

    Wakivaa nguo ndefu zitazoa uchafu na kuwaletea maambukizi mengine, nguo fupi zinawakinga na maambukizi ya magonjwa mengine :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D na kiafya wanapata hewa, kwahiyo waachie wapate hewa vizuri
  12. BornTown

    Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Basi ndoa zote zitakuwa za kubariki tu sio kufunga maana asilimia kubwa wameshakutana kimwili....
  13. BornTown

    UHUNI WA UDART: Mmesikia Rais anakuja kuzindua mnajifanya mnajali, mlikuwa wapi siku zote?

    Nikusaidie kuongeza 6. Kauli zao pia chafu hasa wale wadada wa kwenye vituo
  14. BornTown

    Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Mwanamke anazaa peke yake?? Hapo wamechemka , kwa maoni yangu Kanisa kama kanisa halitakiwi kuhukumu badala yake linatakiwa kuwarudisha waumini kwa Mungu anaye toa hukumu ni MWENYEZI MUNGU PEKEE... huyo alietoa hilo tamko akajitathmini vizuri. Kupata ujauzito sio dhambi ni Baraka toka kwa Mungu...
  15. BornTown

    Kutoka Mahakamani: Rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema yasikilizwa, yapigwa kalenda

    Hivi ni sheria inasemaje kuhusu haki ya mtu kupewa dhamana ni kwamujibu wa shaeria taratibu zinafuatwa ama ni kwamujibu wa shinikizo la watu flani flani?? Kama ni kwamujibu wa sheria basi sharia ifatwe hata hao mahakimu wafate sheria sio shinikizo. Leo hii tunatizama kwa Lema kutendewa hivi na...
  16. BornTown

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    YAANI HII NI DHAMBI KUBWA MNO HATA MWENYEZI MUNGU HAWEZI WABARIKI, WATU WAMEPATA MAAFA NA WENGINE WAMEPOTEZA MAISHA STILL MICHANGO IMECHANGWA WATU WAMEJITOA KWA AJILI YA KUWASAIDIA WENYE MAAFA PESA ZINAHAMISHIWA KWINGINE..... NI MBAYA MBAYA SANAA
  17. BornTown

    Tetesi: Bei ya mafuta kupanda kuanzia tarehe moja novemba!!

    Ni kawaida kila jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatoa bei elekezi ya mwezi husika na hii inategemea inaweza ikapanda au ikashuka kutokana na mzunguko wa bei ktk soko la dunia ulivyo
  18. BornTown

    Auawa nje ya ubalozi wa Marekani, Ubalozi watangaza kufunga huduma zake leo

    Balozi zote zinalindwa na watu wao, nchi husika ni ulinzi wa nje tu hawaingiliani na mfumo wao wa ulinzi wataajiri kufungua mageti na kufunga but the rest ni wao kila kitu tena nukute balozi kubwa kama marekani,uingereza, cuba,israel sijui urusi huwezi kuta security yao iko kwa nchi husika. hapa...
Back
Top Bottom