NUKUU YA MSEMAKWELI CHAKUBANGA.
Nikiwa kama mbobezi katika fani ya Uongozi, Master of Leadership and Management, Labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria, haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi...
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?
Leo 15:15hrs 14/05/2021
Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala...
JE, KUNA UBAYA KWENDA KUMJULIA HALI NA KUMPA POLE MAMA JANETH MAGUFULI!?
Kwanza nilimuona mtoto wa Hayati Rais Magufuli akisema mama yao hajisikii vizuri tangu Mzee alipotangulia.
Baadae nikaona habari ya Baba Mdogo kupita Chato akielekea Kigoma na watoa habari walisema amekwenda kumjulia hali...
NIMEPATA MTOTO WA KIUME;JE NIMUITE JOHN POMBE MAGUFULI!?
Leo 17:15hrs 02/05/2021
Namshukuru Mwenyezi Mungu,Muumba wa mbingu na dunia kwa kunitendea tena,mara zote nilipokuwa kwenye shida nilimuomba Mungu nikikumbuka mema aliyokwishanitendea nae hakuniacha kamwe,sawa sawa na andiko langu la tar...
NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO.
Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba.
Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu vipi uchumi na IMF ambao ni wazungu wakaiingiza Serikali yake kwenye uchumi wa kati!?
Chawa...
KUMBUKUMBU;NITAONGEZA MISHAHARA KABLA SIJAONDOKA MADARAKANI-RAIS MAGUFULI.
Matumaini ya wafanyakazi ya kusikia habari njema za kuongezewa mishahara yaliota mbawa baada ya Rais Dk John Magufuli kusema atatekeleza ahadi hiyo kabla ya kumaliza muda wake wa uongozi, hata hivyo, hakuweka bayana ni...
SIKU 40 BILA MWAMBA: ULITUHESHIMISHA SISI WANYONGE NA MASIKINI,PUMZIKA KWA AMANI JPM.
Katika awamu ya nne ya Rais Mstaafu Kikwete kurudi nyuma hadi Azimio la Zanzibar, Matajiri na Wafanyabiashara walikuwa na Jeuri za kila aina,kwa maana walianza kufanikiwa kuifanya CCM kuwa ya Wafanyabiashara...
JICHO LA SIASA:DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE ALIYERITHI MAFURIKO YA MH EDWARD LOWASSA,NANI TENA KUYARITHI MAFURIKO HAYO!?
Leo 13:45hrs 25/04/2021
Muonekano,maamuzi yao,mitazamo yao kwa taifa la Tanzania,na sampuli ya utofauti kabisa katika siasa na uongozi ndivyo vilivyowainua watu na...
MWEZI MMOJA BILA MWAMBA;BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA LAMUENZI HAYATI DAKTARI JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 10:40hrs 18/04/2021
Ni heshima kubwa sana kiitifaki katika Baraza kuu la Umoja wa mataifa kumuenzi Rais wa nchi aliyefanya mambo makubwa kwa nchi yake lakini akatutoka akiwa Madarakani,kikao...
MAGUFULISM
Hii ni aina mpya ya Falsafa iliyoanzishwa katika Karne ya 21 haswa mwaka 2021 kutokana na falsafa za aliyekuwa rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli aliyeishi kati ya 1959-2021. Katika Falsafa ya Magufulism tutaangazia mitizamo ya mwanafalsafa huyu katika...
WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA.
Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
MCHANGO WA DR. JOHN POMBE MAGUFULI NCHINI TANZANIA NA BARA LA AFRIKA KWA UJUMLA.
Dr. John Pombe Magufuli aliyehudumu kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano aliheshimika nchini Tanzania, Barani Afrika na Duniani kwa Ujumla kutokana na namna alivyosimama kidete kuhakikisha...
HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA.
Leo 11:45hrs 11/04/2021
Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
RIPOTI YA SIEIJI;
Serikali ilipanga kukusanya Trillioni 33.105 lakini ilikusanya Trillioni 31.519 sawa na 95% - CAG
kama ufaulu huu ni A plus.
Haijawahi kutokea Serikali kukusanya 95% ya matarajio ya kibajeti.
Kumchafua kote Hayati Rais Magufuli kumbe sababu kapata A.
Dunia ina mambo sana...
BANDARI YA BAGAMOYO AKA MBEGANIZHOU YA WACHINA.
BANDARI YA BAGAMOYO HAITAJENGWA NA WACHINA KWA MKOPO
WANAJENGA MALI YAO WENYEWE
MALI YA CHINA NDANI YA TANZANIA KWA MIAKA 99
HAKUNA MTANZANIA ATARUHUSIWA KUINGIA PALE KUFANYA LOLOTE PALE MBEGANIZHOU YA BAGAMOYO..
Nilichogundua huo mradi wa...
DR JOHN POMBE MAGUFULI,ONE OF THE BEST TO EVER DO IT,A TRUE LEGEND.
Leo 23:15hrs 09/04/2021
Wote wanaomsema vibaya na kupuuza fikra za Rais wa awamu ya tano,Dr John Pombe Magufuli juu ya miradi aliyoanzisha Hayati Rais John Pombe Magufuli hasa wanaccm ni wanasiasa wanafki na wazandiki wenye...
DR JOHN POMBE MAGUFULI,ONE OF THE BEST TO EVER DO IT,A TRUE LEGEND.
Leo 23:15hrs 09/04/2021
Wote wanaomsema vibaya na kupuuza fikra za Rais wa awamu ya tano,Dr John Pombe Magufuli juu ya miradi aliyoanzisha Hayati Rais John Pombe Magufuli hasa wanaccm ni wanasiasa wanafki na wazandiki wenye...
"Wapo watu duniani hata ukiwabeba mgongoni ukawavusha mto,wakifika ng'ambo watasema limgongo lake linanuka, tuwaombee tu"-Rais Magufuli 02/04/2018
#MimiSioniUbayaWaMagufuli.
MCHANGO WANGU KWA SERIKALI KUFIKIA LENGO LA TRILIONI MBILI KILA MWEZI.
Leo 12:15hrs 04/04/2021
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.