Sio kwa sasa watu wanatafuta sababu ya myaudi feki kuchapwa. Nakuambia russia, iran na china wapo nyuma. Maana myaudi fake alimsaidia ukraine, sasa watu wanamtafutia sababu tu wamchape. Kwanini yupo kimya maana kashitukia mchezo yeye na usa wake.
Ni swala la muda tu ndo jibu sahihi, ila maisha ya sasa ukipata mwanamke akizaa kuwa busy na mwanao tu achana na mambo ya kumfatilia mwanamke maana. Sio kwa kizazi hichi cha leo, akuna mwanamke wa peke yako wqla mwanaume wa peke yako. Jipendi na usimuweke mwanamke akilini. Tafuta pesa furahi...
Ili Tanzania ipige hatua kubwa katika sekta ya elimu na teknolojia ndani ya miaka kumi ijayo kuanzia sasa 2024 mpaka 2034, yafuatayo yanapaswa kufanyika:
1. Kuwekeza katika Miundombinu ya Teknolojia
- Kujenga na kuboresha miundombinu ya intaneti mashuleni na vyuoni.
- Kuweka vituo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.