Chama cha ACT siku hizi kinatoa matamko kupitia wasemaji wao wa kisekta. Hayo ulo orodhesha wamesha yaongelea yote. Gone are days za Zitto kusimama mbele ya waandishi kwa kila kitu.
Anza kuwasikiliza wasemaji wao kwa kila sekta, kila siku wanaongelea ishu. zetu wananchi.
Halafu Zitto...
Ni kweli. Najiuliza kama madaktari wangekuwa wanalipwa vizuri na wagonjwa wanapata huduma nzuri kwenye hospitali za serikali, watu wangapi wangeenda kulipia huduma huko private? Madaktari wangapi wange taka kufanya kazi kwenye hospitali ya serikali muda wa kazi na private baada ya muda wa kazi?
Point ya muhimu sana hii. Jirani yetu alisubiri sana kabla ya kupata nafasi ya kumuona daktari bingwa. Kumbe alikuwa na saratani. Alipomwona daktari tatizo likawa limeshakuwa kubwa matibabu yake makubwa na gharama zaidi , akafariki.
Alishauriwa alipie kumwona daktari bingwa haraka lakini hakuwa...
Zitto hakukataa muungano,aliomba kuingia wakakataa, walijiona wamelamba bahati ya mtende ambayo hawakutaka kushea na "msaliti" ambae walimfukuza kama mbwa kwenye chama chao
Kumbe Zitto alifukuzwa CDM kama mbwa koko, tena akaenda hadi mahakamani kupinga? Kumbe ACT waliomba kuingia UKAWA wakakataliwa?
Sasa hatuhitaji kusikia hizi Hadith za Zitto aliondoka CDM ili akaanzishe chama chake cha kupinga CDM, na uongo wa ACT haikutaka kuingia UKAWA kwa sababu ACT...
ACT waliomba kujiunga UKAWA tena kwa maandishi, hawakukubaliwa. Walisema lowassa ndio aliunda act, alipoenda chadema wakaufyata kwa aibu. Sasa mnageuza maneno ati membe ndio alianzisha ACT.
Hamchoki kuongea??
Endeleeni tu kupigana madongo yasiyo na tija, ni hivi.. wenzenu wamejiandaa kutangaza wagombea wao kama washindi, kura zipigwe zisipigwe hawajali, kwa hiyo mnapolumbana na kuitana majina muwe na hilo kichwani maana mnaongea tu utadhani mnaenda kwenye uchaguzi wa kawaida.
Zitto ALIFUKUZWA chadema, akaenda hadi mahakamani kupinga kufukuzwa kwake akashindwa. Hivi tunakuwaje wasahaulifu haraka hivyo?
ACT WALIOMBA kujiunga na ukawa, pamoja na tofauti zote waliona umuhimu wa kushirikiana na vyama vingine vya upinzani, lakini maombi yao hayakujibiwa wala hawakupewa...
Tume sidhani kama itakuwa mpya kabla ya uchaguzi. Lakin mkisusia wanakula kuna cuf na kina mrema wapinzani feki. Wataingia uchaguzi na sisyem. CDM na ACT waamue wanamsusia nguruwe shamba la mihogo au wanapambana huku wakidai tume.
Serikali za mitaa walisusa, uchaguzi wa marudio Zanzibar...
Zile picha za 2015 za Zitto kumbeba punda (ACT) mgongoni zimepitwa na wakati. CDM na ACT fanyeni muungano wa aina yoyote ile, hakuna yeyote kati yenu anaweza kuitoa CCM madarakani kwa kujitenga. CDM toeni mgombea uraisi wa bara, ACT watoe mgombea uraisi wa visiwani, Membe kama kweli ni mpenda...
Zitto mjanja, CDM wanamchukulia poa, Membe hatogombea urais lakini ataupa upinzani nguvu kubwa. CDM na ACT mkiungana kwa namna yoyote ile CCM will never be the same.
Wapinzani msimpe Membe kugombea urais bila kupingwa.
Kama anajiunga upinzani kwa nia safi atajiunga kama mwanachama wa kawaida, na akitaka kugombea atakubqli pambanishwe kihalali na wagombea wengine wote.
Msiende kumuomba kugombea.
Wananchi walikuwa makazini, hawahitaji kukusanywa kupewa mahesabu ya pesa zao. Huyo jafo angetumia mic ya hao waandishi wa habari kuwatangazia watu mahesabu ya pesa badala ya kuwaambia meneja kufukuzwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.