Kwa hali ilivyo, we ukane tu wa tz. Norway nadhani km si nchi ya kwanza basi ni ya pili kwa kiwa na raia wenye furaha duniani. Wakati Tz ni nchi ya tatu kutoka mwisho!!!!!
Nilishasema, hili ni tatizo la elimu yetu, inamuandaa mtu kuajiriwa badala ya kinyume chake. Una BA bado unasubiri ajira, wakati mwingine huwa naona elimu ya la saba iko vizuri kwani waliojiajiri ni wengi.
Dogo kakuchoka kaona akupe makavu. Tafuta namna ya kuhama bro!!!!
Niliwahi kuwaambia hapa kuwa, bila kuuondoa mfumo mzima wa MCC mtakuwa mnapiga ngoma ndani ya maji. Hata akishushwa malaika toka mbinguni, kwenye mfumo huu ataharibu tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.