Nahitaji land cruiser prado sx,zx,au lx na iwe kwenye hali nzuri, iwe haijawahi kupata madhara wala haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka isiwe chini ya mwaka 1995 . Budget ni milioni kumi na nne (14,000,000), priority zaidi kama itakuwa arusha au...
madocta wana madi makuu matatu ukinymbulisha unapata kama nane,
1.kuwajibishwa kwa viongozi walisababisha sekta ya afya kudorora<wizara ya afya
2.maboresho huduma ya afya nchini kwa kuhakisha madawa, machine za kuwapima waginjwa vikuwepo na vinafanya kazi mda wote, na vitendea kazi vingine vyote...
weeeeeeeeeeeee wacha kabisa. mimi ni Dr naomba niwasaidie kudogo kwenye hili
ukweli ni kwamba kama una HIV na ukawekwa kwenye dozi ya ARV hizi dawa zinawaua wale virusi kwahiyo kwa mda fulani wanakuwa wamepungua sana kwenye mzunguko wa damu hivyo uwezo wa kuambikiza unapungua.
kwa hiyo...
green card inayosemwa ni card ya BIMA ya AFYA ya NHIF ambayo unakuwezesha kutibiwa hospitai yoyote nchi hii iwe ya serikali au private bila kujali ggarama zao na unaweza kufanyiwa kipimo chochote na pia unaweza kupata dawa yoyote inayohitajika kutibiwa tatizo lako bila kujali gharama...
WAKATI wabunge wakijipandishia posho za vikao mpaka 200,000/-
Watanzania(wadanganyika) waendelea kupokea malipo ya kutofanya uchaguzi makini, pale wanapoenda hospitali kwa matumaini ya
ya kutibiwa na kukuta wimbo wa hakuna dawa, oxygeni imeisha, hamna dawa ya kuosha vidonda, hamna dawa ya...
MIMI Rais kanishangaza na kuniacha na maswali magumu
1.kutoa hotuba ambayo kaoengelea lami tu kama ndo issue kubwa lenye hadhi ya kuongelea katika kuadhimisha miaka hamsini ya uhuru???
2.ktunuku wastaafu nishani ya heshima ya mwal. Nyerere ktika viwanja vya ikulu mbele ya wateule wachache...
MIMI Rais kanishangaza na kuniacha na maswali magumu
1.kutoa hotuba ambayo kaoengelea lami tu kama ndo issue kubwa lenye hadhi ya kuongelea katika miaka hamsini???
2.ktunuku wastaafu nishani ya heshima ya mwal. Nyerere ktika viwanja vya ikulu mbele ya wateule wachache? badala ya mbele ya...
mie niko kilimanjaro maeneo ya KCMC na mida ya sa kumi na dk 40 hivi gafla nao umeme ukakatika nadhani ni issue hiyo hiyo mlipuko Ubungo ndo sababu, kazi tunayo,
Nafikiri Ngeleja aliazimisha tanesco kuzalisha umeme kwa lazima hata kama uwezo wa machines silizopo ni mdogo ili kuplease wabunge...
Kaka kazi nzuri umejibu hoja kwa hoja na hili linaonyesha kuwa uko sawa na fit kwa kazi pale ukonga kama ulivyofanya mimi nakuunga mkono.
pili unayo haki ya kikatiba hata kama mtanzania kugombea uongozi ndani ya nchi yetu mahali popote.
Tatu naona wanaotoa hoja ya kukupinga wanalao ajenda na...
Wachawi ni wao wenyewe "they are just malingering nothing else, they are aware of what they proclaim being " UNAFIKI" against themselves.
I tell you they are poisonous leaders
They will pay the price of their hypocrisy soon ?2015
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.