Search results

  1. T

    Forgery za mfanyakazi wa nje za Vodacom Plc zaanikwa kwa Waziri na Rais Magufuli

    Hujui unachokiongea nyamaza tuu, kwanza hii barua imeandika upande wa kisheria tuu ila huyu jamaa hataki kuachia watanzania cheo, kuna watanzania wengi sana wanakiweza cheo hicho zaidi yake ila anafanya tricks za kuhamisha watu na wengine kuwatengenezea jungu waondoke ili wasichukue huyo nafasi...
  2. T

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Dah we LIZABONI KIBOKOO.. UNANIKUMBUSHA WALE WALIOENDA KUCHUKUA HELA KWNY VIROBA NA MABOX
  3. T

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    kwani unafikiri kagasheki kaondolea watu hapo kikawaida???? kaondolewa sbb ANAWAZUIA!!!. biashara ya wakubwa hii.. kama mpaka wanajeshi wa china wanahusika, angalia na kuifikiria hii ishu katika 3D:angry:
  4. T

    Ripoti Maalum: Kutajwa kwa Vyombo vya Usalama na Wengine kwenye Madawa ya Kulevya ni Mtego kwa JK

    Mwanakijiji, hivi unategemea nn kama raisi wako alitangaza hadharani kuwa anayolist ya wauzaji na mpaka leo hajaifanyia kitu wala kuongelea, kwanan asiwe mkali kama alivokua mkali kwny ishu ya hao wakimbizi wanaovamia mipaka????? na kwann hajawaita 'wazee wa dar es salaam awashtakie kama ilivo...
  5. T

    Josephat Isango, Mhariri wa Habari Tanzania Daima akamatwa na Polisi

    Haya we wa gazeti la UHURU tunakusikiliza
  6. T

    BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

    Asante hiroshima. Huyu jamaa simpendi hasaa yeye tamaa zake za uraisi ndie aliwafata mashehe akiwa na mchawi mwenzie makamba. Wakawaingizia mashehe udini vichwani mwao leo hii anaropoka nini hapa. Kwann makachero toka nje inamaana usalama wa taifa hawaiwezi hii kazi?????pumbaf kabisa
  7. T

    Sheikh Farid wa Uamsho 'atekwa nyara' visiwani Zanzibar

    mkuu hujamuelewa huyo, hashabikii ila ANACHOCHEA!!
  8. T

    Mwakyembe apuuza data za JamiiForums!

    ttz liko wapi hapo, we unaona sawa waziri akitegemea JF 100% (ategemee sana JF)
  9. T

    Pongezi Mkoba na mahakama

    wasi wasi wangu tu ni maisha yake.. hawa watawala sikuhizi hata akili hawatumii, wanaua wanaharakati wanavotaka hata hawako ma kini wala kufikiria matokeo, MUNGU amkulinde Mkoba
  10. T

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    wataagiza walimu kutoka china
  11. T

    Mbunge Salome Mwambu (CCM) mahututi Muhimbili

    Asante sana mkuu wangu wa kazi, umeniwakilisha vema.. ASANTE SANAAAAAAA
  12. T

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    hakuna anaeogopa mtu, hiyo hapo juu ni taarifa tu mzee
  13. T

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    hebu tuwe wazalendo japo kwa muda mchache jamani... zomba nani asiewajua CCM kuwa ni wauaji? Vipi kuhusu CHIFUPA, KOLIMBA, MALIMA, SALOME MBATIA, PROF JWANI MWAIKUSA(Nirekebishenikama nimekosea hili jina), MPAKA NYERERE MWENYEWE???? Vipi kuhusu vyombo vya habari kununuliwa NA KUPOTOSHA KUWA HUYO...
  14. T

    Anayetuhumiwa kumteka DR. Ulimboka azungumza

    mtafutieni kabisa ulinzi huyu mtuwenu hapo juu.. Hamuwezi kuendelea kuua watu kila siku kama nyie ni miungu
  15. T

    Anayetuhumiwa kumteka DR. Ulimboka azungumza

    Hebu acheni kutufanya sisi wajinga sasa mmezidi.. kama kweli ye mwanaume achague TV yeyote aje aongee live na sio recorded, MSANGI WEWE BADO NI MTUHUMIWA WA KWANZA RUDISHA SIMU NA WALLET
  16. T

    Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

    Mungu alikuwa na mipango yake alipokataa kuchukua uhai wa Ulimboka!!! Amemuacha duniani makusudi kunavitu anataka kutuonyesha, tuendelee kusali.....
  17. T

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    sasahivi atataka kuongea na 'wazee' wa dar es salaam-DHAIFU KABISA!!!!
  18. T

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    haya mtekeni na Dr Chitage nae sasa
Back
Top Bottom