Wadau nahitaji gari la mizigo aina ya Mitsubish Fuso fighter ya kawaida au mayai ya kununua.Kwa mwenye nalo anaweza kutuma tangazo lake humu humu janvini kwa kuweka mawasiliano yake nami nitamtwangia.
NB.Usiweke bei ya kulipua(burster price)
Kwavile anajua watanzania wa siku hizi wanapenda udini,basi naye kaamua kuwa mwanakwaya ya usharika wa upanga ili kupigiwa debe kama mwenzi Sio Raha alivyopiganiwa na maaskofu,kazi ketu!
UDINI,UDINI,UDINI!Tatizo la kupokea kila uambiwacho na mapadri kuwa ni kweli bila ya kuuliza maswali(dogmaship) ndio hilo.Wana ccm wamejua ni upuuzi kumpigia kura mtu hasiyefaa hata ukatibu kata ukampa cheo kikubwa,sasa wanaanza kulimana wenyewe kama CDM!
Leo tutashuhudia Liverpool ya bongo itavyocheza na Ivorycoast bila ya Steven Gerrad wao(Ngasa).
Kwa hakika mechi zote ilizocheza Kili star imeonekana wazi kuwa mshambuliaji wa Azam FC Mrisho Ngasa ndiye tegemezi lao na kukubali kugeuzwa kama iliyokuwa timu bora ya Ulaya(miaka ya 80)Liverpool kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.