Mchango wa mzee Mwarabu hautasahaulika katika mziki wa kanisa Katoliki hapa Tanzania. Mungu azidi kumbaliki na kumjaza nguvu aendelee kutunga nyimbo hizi tamu.
Nakushukuru Baba Muumba wa mbingu na nchi..kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili..Ukawafunulia watoto wachanga! Naamu Baba..maana hivyo ndivyo ilivyokupendeza...data or no data hakuna mfumo Kristu nchi hii! Amen!
Ungenielewesha kuliko kuniattack..kama wewe umeelewa..basi nipe ufafanuzi..its just that simple. Hapa mie naona kuna yaliyojificha na sisi tunashabikia tusichokijua
Hivi kwanini Watanzania tunaangalia kila jambo kihasihasi? Maaskofu ni watu kama Sisi..kuna ushahidi gani kuwa walijua kuwa Fedha hizo sio Mali halali ya Rugemalila? Hivi kama Fedha hizo walizipokea kama mchango wake katika ujenzi wa shule au kabisa..kuna dhambi gani kwa maaskofu hao. I think...
Kuna mambo sijayaelewa vizuri na taarifa hii ya Zitto..kwamba AG kaipotosha benki Kuu kuhusu kodi ya VAT...tangu lini kazi hiyo ya assessment ya VAT ikafanywa na AG? Kwani Wizara ya fedha au TRA hawakuwepo kutoa ufafanuzi. Kamati ya Zitto ina uelewa upi wa Sheria kubaini kuwa hukumu ilipotoshwa...
Wafanyabiashara katika viunga vya Kariakoo, Wilaya ya Ilala wamegoma kufungua maduka leo ikiwa ni mara ya pili katika kipindi cha mwezi mmoja.
Sababu za mgomo huo ni kupinga amri ya Seriakali kuhusu matumizi ya mashine za kielectronic (EFD). Migomo ya namna hiyo imeripotiwa katika miji ya...
This man Mohamed, who in his right mind invites him to deliver a speech!!! What is written is gibberish and has no drop of truth! His religious hatred is no less than that of Al Shabab or Osama! Stop the hate speeches in this forum...better take it to Jukwaaa la Dini!!
It is sickening to hear that sitting in different capitals of the EAC contributes to the integration process! So why do we have a headquarter of the Community with an EALA structure? EALA is a waste of time, if you ask me! They end up enacting private laws that cannot be implemented. It was a...
Aise, basi kumbe hakuna ubaya kwa jengo hilo kuwa na mwenekano huo! Aliyeanzisha thread hii alitaka afahamishwe na wewe umempa jibu tosha, umesahau tu kusema kuwa hata mfadhili wa jengo hilo anaabudu katika madhehebu hayo! Mfadhili huyo alifadhili baadhi ya majengo ya UDOM ambayo kwa kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.