Search results

  1. K

    Help me find the job wanajamii

    I feel so sorry to my brother. This too happened to me, I tried several times to apply for jobs, but, I end up with frustration. Many employers told me that I don't have adequate experience. I advised you to join kaziafrica, this is a kenyan website with the objective of helping each other...
  2. K

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Nionavyo mimi, suala si kuanzisha matawi ughaibuni, suala ni akina nani wanauwezo wa kufika ughaibuni? angalieni hiyo orodha hapo juu, kwa mtu mwenye akili yake inaashiria nini kama si sawa na yale yale ya BoT ambapo mafisadi/wakubwa wamejaza watoto wao ili waendelee kulinda mirija yao. Hala...
  3. K

    Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Kuliko kusikiliza hiyo hotuba, bora nisikilize zilipendwa hapa JF. namshukuru aliyeka hiyo music alijua ipo siku tutaboreka na hotuba ya JK then tushindwe pakwenda
  4. K

    Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Ngoja ngoja inaumiza matumbo hasa ulichokingoja kisipotokea, kikaja kingine usichokitegemea. Sasa tutaona tusichokitegemea. Zaidi zaidi atasema haya: +Ufisadi utazungumziwa kidogo tu, + muungano sana + atalaumu sana wanaokosoa serikali + takukuru watapewa sifa Mwisho wa hotuba hakuna...
  5. K

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kweli wewe ni 'DARWIN' ngoja nikwambie, The law (Constitution) that governing the present union between Tanganyika and Zanzibar is nearly equal to the law of natural selection 'the survival of the fittest' as was pioneered by 'Darwin' (hahahaaaaaaa!). What we see now is that, the people of...
  6. K

    Daniel Kabisi Afariki Dunia

    Bwana ametoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe daima. 'Amen'
  7. K

    Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

    Ndani ya Azimio la Arusha kuna mengi mazuri yanayotufaa hadi leo. Mfano, 'equal distribution of the national cake' pato la taifa' haya bado ni mambo mazuri sana. Ukiangalia kwa sasa kuna tofauti kubwa sana ya maendeleo miongoni mwa mikoa yetu mingine ikiwa na maendeleo sana na mingine ikiwa...
  8. K

    Kijarida cha "Cheche za Fikra" chatoka!

    Mkuu, Mbona hauko wazi ni wapi haswa tutakipata hicho kijarida? Je wanapouza magazeti mengine au wapi, sema baba.
  9. K

    Tanzania National Identities (Vitambulisho vya Taifa)

    Kamuulize Mhe. Mungai, alipofika wizara ya mambo ya ndani aliuona huo mradi wa vitambulisho kama ulaji wake. Taratibu zote zilizokuwa zimefikiwa akazipiga chini na kuanza kufanya zake ikiwemo kuteua members wa board ya vitambulisho. Akiwepo huyo Mungai fedha nyingi zilitumika karibu 200m kabla...
  10. K

    Jamani hizi supplementary kwa finalists UDSM zinatutesa

    Kwa nini usiombe ukawa mshauri wa wanafunzi. Nimependa mawazo yako sana. vijana wetu ebu someni huu ushauri wa bure, Utawasaidia. Niseme kidogo tu, Kwa sasa vyuo vyetu tusifichane wanafunzi wamepageuza vijiwe vya umalaya, kuvuta unga na uhuni mwingi sana. Ukiacha kusoma then ukakamatwa kwenye...
  11. K

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    Fisadi, fisadi, fisadi, Wa Tz Sasa tuseme hapana kwa hawa mafisadi. kwani wana nini? Elimu? nani asiyekuwa na hiyo elimu? tunataka uadilifu na kujali wanyonge sio u-Dk wala U-Professor. Wangefisadi vihiyo tungesema hawana elimu sasa mafisadi wakubwa ni ma-Dk na Maprofessor. Hicho chama...
  12. K

    T.I D agombewa na wafungwa

    Jamaani TID ni jeuri, hii sio kesi yake ya kwanza kupiga watu, kumbukeni pale Kempsky Kilimanjaro hotel alipompiga jamaa baada ya kunyimwa u-top ten. Kule gerezani hakuna cha TID wala nani. Kama hajui amuulize Papa Kocha na Babu Sea. tunachohitaji atoke amejirekebisha. Duuuu nasikia jamaa...
  13. K

    Watanzania Wanaongea Sana Kuliko Wakenya Na Waganda?

    Kuongea kwa WA TZ tusikubeze. Kumbukeni kwa wale waliopitia JKT ni hayo hayo maongezi na stories nyingi zilitufanya tuwe kitu kimoja na kumaliza salama ambapo mwisho wa yote tumejenga 'social network' kali sana. Nimefanikiwa kukaa na Wakenya huko ughaibuni, wao wakikutana kama sio kabila moja...
  14. K

    Top Ten footballers Tanzania ever produced

    Eheeee kweli usipojisemea hakuna wakukusemea;;;;;;;;;NTEZE JOHN RUNGU;;;;;;;;;Tunamuweka wapi jamani? EDIBILY JONAS LUNYAMILA;;;;Winga machachari kawaulize washibiki waliokuwepo NAKIVUBO STADIUM wakati Dar Young African ikifanya vitu vyake. Nawapongeza wote waliotuletea majina ya wachezaji...
  15. K

    Don Balali were bounded by Omerta

    Mkuu kwa uchungu nilionao nakubali kiaina. It seems Balali has committed suicide so as to prevent the long hand of law to reach the Mafia Families. Or contrary to that, may be Mafia Members have decided to silence Mr. Balali from giving in-depth information on the on-going EPA's scandal. Hapo...
  16. K

    Mwana JF aaga dunia!

    'Uliumbwa kwa mavumbi na Mavumbini utarudi'. It is hard time for relatives and friends of the late FD, We wanaJF, we would like to remind you that stay cool, show your solidarity, comforting each other this is how God directs us to do when faced difficult situation.
  17. K

    Hivi Watanzania tukoje jamani??

    ''Kuna vielezo vyovyote vinavyoonyesha kuwa balali amakufa?'' Kwanza Naungana na 'Baba H'. Hatutaamini mpaka tuthibitishiwe kweli kafa. Wewe unayekejeli maoni ya wenzako usitake kubadili maana na mwelekeo wa mada hii. Watanzania tunalipuka kama mlima 'Olodonyongai' then tunasahau kabisa...
  18. K

    CHADEMA yaiiga ODM kuhusu Sera ya Majimbo

    Heee, Nisaidieni jamani. Naona kama mfumo wa majimbo hauko mbali sana na utaratibu tulionao wa 'Decentralization by Devolution" yaani D by D. Mfumo huu nao ni vile vile unapeleka madaraka karibu na wananchi. Mfano, halmashauri kwa sasa ndizo zinazopelekewa fedha nyingi kwa ajili ya shughuli za...
  19. K

    Upinzani watangaza mapambano 2008

    SHY, Nimekusoma. Mawazo yako umeyaelekeza kwa upinzani kwamba 'they're trying to pollute the situation'. Fahamu kwamba, hali tuliyonayo kwa sasa Watanzania, imetuunganisha pamoja kupiga kelele dhidi ya mafisadi. Si mpinzani, si yule aliyepo kwenye system au si yule asiye na chama wote tu...
Back
Top Bottom