Vipo kibao tu..whynote,tnt,kumalija,samaki samaki,kitambaa cheupe n.k humo kuna pisi za kwenda,shisha,vibango na show za wasanii mbali kila weekend. Mil 4 kwa weekend 2 inatosha sana
Nina shda ya usb/stick moderm yeyote ya mtandao mmoja au universal aje aniuzie niwe natumia kwa ajili ya internet kma pc yangu.
Kutumia tethering ya simu hainipi uhuru.
1.Hiv kumbe nchi ya marekani walikuwa na pesa za sarafu..na je bado wanatumia pesa za sarafu (coin) mpaka miaka ya leo? Na kama zipo ni kuanzia bei ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.