Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.
Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara kuendelea kushika dola.
Marehemu Lowassa aliwahi kusema, " tukishindwa safari hii tutahitaji miaka 30...
Gentamycine; alazwe mahali pema peponi Sophia Yamola.
Msama mjanja mjanja aliye shirikiana na wajanja wajanja wa mjini kufanya ujanja ujanja kumiliki viwanja.
Arobaini zake ziketimu.
Aliyekufa kafa...acha aisubiri hukumu itakayotokana na matendo yake aliyoyatenda akiwa hai.
Ya nini kutumia rasilimali za Taifa kuchunguza kifo cha mtu ambaye historia ya afya yake ilishaonesha kuwa siku zake zisingelikuwa nyingi.
Kama hiyo ndiyo idadi ya watu waliohudhuria mkutano wa Mbowe, halafu ni kwao Hai kwa wamachame wenzake ambako pia aliwahi kuhudumu kama mbunge; basi Mbowe kwisha habari yake.
Akazanie tubiashara twake huenda akazeeka akiwa na uhakika wa kupata chai.
Siasa kwake kwa sasa...imemshinda.
Mtaendelea kufurahia na kushangilia ushindi wa wengine.
Ninyi hapa nchini kushinda; labda baada ya miaka 100 ijayo.
Watanzania wana imani kubwa na CCM.
Na kwa sasa wana imani kubwa sana na Rais Samia Suluhu Hassan. Mama yetu kipenzi cha wote.
Ndio ujinga wenu mlio wengi wa upande ule wa manyumbu' mnapoelezwa ukweli mnakimbilia kuita watu machawa':
Kama hujaona kilicho/kinachofanywa na CCM basi una mtindio wa ubongo.
Kujadili jambo au kubishana na mtu wa aina yako ni kuupoteza muda.
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na mashabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka...
Unafikiri kidogo sana; CCM kama chama chenye mamilioni ya wanachama, wapenzi na madhabiki hakiwezi kuwa na watu wema tu, wapo wachache wenye dhamira mbaya.
Kama ilivyo wachungaji, mashekhe na mapadre na wazee wa kimila, wapo wengi wenye dhamira njema na wachache walio kinyume chake.
Epuka...
Kwenye hili la ununuzi wa ndege; mimi nipo kinyume na serikali.
Hapana, ndege hapana, tuna mengi ya kujiimarisha kwa ajili kukuza uchumi wetu; ndege hazina uhusiano wa moja kwa moja katika kumkomboa mwananchi wa kijiji Nambinda kiuchumi..
Kukatokea kikundi cha walafi na walaghai ndani ya CCM, kikasaliiti na kuungana na wahuni wengine kuteteresha ushindi wa CCM.
Labda hilo litokee, lakini CCM iko imara sana na ingali na uwezo wa kunusa na kubaini harufu ya wasaliti na kuwashughulikia haraka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.