Search results

  1. dogman360

    Kim Jong UN kasomea Switzerland

    😂😂Aisee
  2. dogman360

    Kim Jong UN kasomea Switzerland

    Kim Jong Un Alihudhuria shule ya serikali ya Liebefeld Steinhölzli huko Köniz, karibu na Bern, chini ya jina "Pak-un" au "Un-pak" kutoka 1998 hadi 2000 kama mtoto wa mfanyakazi wa ubalozi wa Korea Kaskazini huko Bern Wanasiasa ni wale wale duniani kwote wanahubiri maendeleo ila watoto wao...
  3. dogman360

    Kituo cha TV cha Ukraine chamfichua mtoto wa nje wa Vladimir Putin anayeishi Paris Ufaransa kama DJ

    Wakuu, Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia. Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21, ambaye anahisiwa kuwa binti mdogo wa Putin, anaripotiwa kuishi na kufanya kazi jijini Paris kwa kutumia...
  4. dogman360

    Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

    Watakwambia hamna cha bure wakati hata elimu bure wao ndo wafadhili wakubwa
  5. dogman360

    Vita ya Aleppo inaanza tena

    Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi ya jiji kubwa zaidi nchini, Aleppo. Tayari wanadhibiti vijiji kadhaa na wameendelea hadi barabara...
  6. dogman360

    Muuguzi mwenye Bachelor ni course gani za masters nzuri kusoma

    KAsome guidebook ya tcu kwa ajili ya postgraduate
  7. dogman360

    Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Ila naona main campus ya Uganda inatambulika ya hapa bongo sijui wanasubiri nini
  8. dogman360

    Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Unauliza swali alafu unakimbilia kufanya conclusion .itakua chuo chako hakitambuliki na UNESCO 😂😂😂 pole ndugu yangu acha hasira
  9. dogman360

    Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Haisaidii kitu kwa ndani ya bongo ila ina umuhimu nje ya bongo na mashirika ya kimataifa ndani ya bongo ..pia kwa wale wanatafuta scholarship za kusomea master's nje ya nchi mara nyingi wana consider
  10. dogman360

    Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Wengi wanajiuliza mbona sipati kazi mashirika ya kimataifa mda mwingine ni chuo ulicho soma
  11. dogman360

    Vyuo Vikuu Vilivyotambuliwa na UNESCO Tanzania

    Kwa nini Utambuzi wa UNESCO Muhimu? Vyeti kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwa na UNESCO vinakubalika kote duniani. Waajiri mara nyingi huthamini sifa kutoka vyuo vikuu vilivyotambuliwana unesco .sana sana kazi za mashirika ya kimataifa . Utambuzi wa UNESCO unaonyesha kwamaa chuo kinatoa...
  12. dogman360

    Naomba kujuzwa kuhusu academic transcript

    Kama umemaliza unaruhusiwa kuomba haijalishi
  13. dogman360

    Asilimia kubwa ya maisha yetu hapa bongo tunayaishi tukitegemea bahati tu(luck) itokee

    Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Back
Top Bottom