Habari wakuu,
Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu.
Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno.
Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa.
MKE...
Leo majira ya saa 5 asubuhi nimeenda kupiga kura (uchaguzi wa wenyekiti) Mimi sio mwanasiasa na sijui hata majina ya wanao gombea, lakini nilijipanga kuenda kuwachagua wagombea wa upinzani pekee.
Nilipofika nimekutana na mambo haya.
Nilianza kwa kutafuta jina langu kwenye makaratasi yaliyo...
Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili kuzuia mazishi yasifanyike ili apewe kibali Cha yeye kusimamia mazishi hayo.
Leo taarifa inasema...
Leo naona nimshauri jambo hili Raisi wetu Samia, amekuwa akifanya mambo mengi ambayo kwa utashi wake pengine Yuko sahihi lakini Mimi naona kama haijakaa sawa.
Ni kuhusu Goli la mama kwenye michezo, pesa ambazo amekuwa akizitoa kwaajili ya goli la mama kama wanavyo tamka kwakweli ni pesa nyingi...
Habari zenu wakuu.
Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko.
Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga
Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu
Pia...
Kumekuwa na tabia chafu ya watu kuzushiwa kuwa wamefariki ingawa wapo hai.
Leo mwimbaji wa injili Bon mwaitege amezushiwa kuwa amefariki, kibaya zaidi waliozusha taarifa hizo ni media ambayo ipo kwenye game kwa muda mrefu (Rick Media)
Binafsi naona wanatakiwa washugulikiwe na rungu la serikali...
Habari zenu wakuu
Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea.
Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama
Binafsi nimejikuta...
Habari wakuu
Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio...
Habari wakuu natumaini muko vizuri.
Maisha yangu yanaendelea kunishangaza kila siku kuhusu nyakati zangu, Nimekuwa nikiishi kama kijana mdogo wa kawaida lakini kumbe jamii hainioni kuwa ni kijana mdogo bali inaniona ni Mtu anaefukuzia uzee.
Nilizoea kupewa shkamoo na watoto wadogo lakini sasa...
Habari wakuu, Leo nimetembea tembea mtandaoni nimekutana na hoja za baadhi ya Wabunge wakitaka ipitishwe sheria ya mwanaume aliye baka adhabu yake iwe kuhasiwa, yaani korodani zitolewe nje na asiweze tena kuitumia dushe yake kwenye matumizi ya kuzagamua.
Binafsi naona imekaa sawa ila ni lazima...
Habari wakuu, nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kiwanja kwa maeneo ya dar. Sitaki chanika Wala chamanz, pendekezo langu ni kimara, mbezi hadi kibamba, kiluvya nk (target morogoro road)
Offa yangu ni milion 5, kama pesa ikizidi basi nitalipa kwa awamu.
Muuzaji nitumie namba yako nikupigie
Habari wakuu, huu Uzi ni maalum kwa ndg zangu wote ambayo pengine mnatarajia kukunua gari kwa mtu (yaani gari iliyotumika bongo)
Madalali wamekuwa na tabia ya kuzisifia sana gari ambazo zimekuwa zikimilikiwa na wanawake, utaskia hii ni gari ya mdada iwai chap.
Wengi wanaamini gari ambayo...
Habari wakuu, hapa sijui Mimi ndie mshamba au huyu jirani yangu ndie ana matatizo ya afya ya akili.
Tupo wapangaji wawili ndani ya fance, yeye ana upande wake na Mimi nina upande wangu, lakini wote tunashea gate Moja.
Mimi nipo na familia yangu ya mke na watoto wawili pamoja na ndugu Mmoja wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.