Kwa hiyo unataka wasikamatwe? Tambua ya kuwa katika jamii wapo watu wana mawazo ya kishetani na hao tunaishi nao kwenye jamii yetu na wakati mwingine tunashindwa kutoa taarifa ilihali tunawafahamu.najua hata wewe pamoja na ujinga wako wote unafahamu ukweli huu
Matukio kama haya yatuunganishe kama Taifa na siyo kutugawa kwa kuangalia aliyekufa ni kutoka chama gani.
Kifo hakipaswi kuangaliwa kwa sura ya uchama.
Ni lazima tukemee na kupinga Umwagaji wa Damu ya watanzania au mtanzania yeyote yule asiye na hatia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.