Search results

  1. J

    LGE2024 Makalla: CHADEMA acheni visingizio, migogoro ya ndani ya chama chenu na maandalizi mabovu ni kisiki kwenu kufanikiwa Uchaguzi Serikali za mitaa

    KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameitaka Chadema kuacha visingizio vya kulalamikia wagombea wake bali iseme ukweli kuwa haikufanya maandalizi kuingia katika Uchaguzi wa serikali za mitaa. Pia, amesema chama hicho...
  2. J

    PICHA: Huenda huu ndio mkutano mkubwa zaidi wa Mwenezi Makalla tangu kuteuliwa kwake kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa

    Msigwa naona kamgamwaya Bwana Mbowe na Yale mashtaka yake mapya ya defamation 🤣🤣
  3. J

    PICHA: Huenda huu ndio mkutano mkubwa zaidi wa Mwenezi Makalla tangu kuteuliwa kwake kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa

    Hapa ni Dar es salaam, Je Ile hoja ya Wapinzani kuwa CCM inabeba watu kwenye Malori bado iko na nguvu yoyote kwa umati huu wa Karne hapa Jijini? Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi...
  4. J

    Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Ngoja tuone nguvu ya Yesu kwenye hili
  5. J

    Kafulila: Rais Mkapa alijutia kuiua PSRC Parastatal Sector Reform Commission, PPP haiuzi Mali za Umma bali inazilinda kwa kipindi chote cha mkataba

    Kijana pekee anayevuta matumaini ya Vijana mtaani kuwa na imani na CCM Kwa Sasa ni Kafulila
Back
Top Bottom