Boss hii kaz bado ipo me mi KE vp naweza kupata kwa sasa nipo tabata ipa akama itakua na tija niko tayar kuhamia huko kigamboni ....kama ipo nijuze niko idle sana jaman
Habari za wakati huu wanajamvi ,naomba mnipe USHAURI je mi wapi patanifaa kwenda kuzichanga changa kutokana fursa zilizopo eneo husika kati ya Dom au dar ni wapi Kuna unafuu wa gharama za maisha...... ahsante nawasilisha
Karibu be ila Gharama za vyumba vya kupanga tu chumba Cha kawaida 60-70 permonth...karibu tulime ALIZETI pia japo sisi wenyeji tunatamani kusogea mbele Zaid kusaka maisha
Sawa nashukuru Sema Mimi c mwenyej sana maeneo hayo ila nitafnya survey nipate kuish pia mazingira hayo ya karibu....maana Nina ujuzi w kutengenez juice ya matundaa ahsante nitajitahid nichangamkie fursa hiyo[emoji120]
Kila la kheri ila na Mimi nilikua n amount kama hiyo nawaza kupata maeneo yenye fursa pembeni kidogo ....msaada Kwa walio kibaha au mbezi kma naweza pata muongozo nije nifanye kitu nipte walau amount ndogo y kutumia kupitia mil 1 niliyonayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.