Search results

  1. IronBroom

    Angalia talent iyoo

    Steganography.
  2. IronBroom

    Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Mimi sio muuzaji wa hizo mashine. Ninamfahamu muuzaji mmojawapo. Anaitwa Shabani 0787 967322. Yupo Dar es Salaam. Kila la kheri.
  3. IronBroom

    Photo of the day: Under the Hill

    Coloseum Roma, Italia...
  4. IronBroom

    Kwa kweli Kiswahili ni kigumu

    Hayo ya sensor kama ni kisimbuzi ama ni king'amuzi nawaachia wajuvi. Nitachangia kwenye Force, kani, torque, nguvu na yanayohusiana na hayo. Force ni kani. Nguvu ni power. Torque sifahamu neno sahihi kwa Kiswahili. Maelezo yanafuata. Kazi= kani X umbali ambao kile kinachosukumwa na hiyo...
  5. IronBroom

    Uliza Chochote kuhusu Free Mason

    Hilo jina linaandikwa 'Free Mason'? au 'Freemason'?Tuanzie hapo.
  6. IronBroom

    Huyu houseboy simuelewi jamani

    Zanzibar Spices: Naomba ufafanue hiyo kauli yako. Ina maana HIV watamwingia ngombe? Ama HIV wataingia kwenye maziwa? Then what? From cow/milk to human being? Hii sayansi mpya...
  7. IronBroom

    Ex-Rwandan spy boss (Col Patrick Karegeya) 'assassinated' in Johannesburg (South Africa)

    Just to put records right. The deceased is Colonel Patrick Karegeya
  8. IronBroom

    Nimehongwa gari na X Girlfriend, mke wangu hataki kuliona

    Mabandiko #2 na #9 yanahusika. Kaunga amesema vema kabisa. Nina mashaka na maandalizi ya jamii uliyotoka kwa vijana wa kiume kuelekea maisha ya ndoa. La sivyo, ni upungazeze wako. Umepita jando wewe? Hakika inawezekana kabisa 'common sense is not common'. Sidhani kama kuna mwanamke atakaye...
  9. IronBroom

    Mke wangu haniridhishi. Ni tatizo langu au lake?

    Hakika hii ndio dunia,mcheza karate analilia viatu wakati watu wengine(wengi tuu) hawana hata hiyo miguu ya kuvaa hivyo viatu. Kwenye tendo la ndoa, uanaume ni kufika kileleni pamoja na mkeo(this is the minimum requirement)... mke akifika mara nyingi zaidi ya mume hiyo ni baraka. Wewe mcheza...
  10. IronBroom

    Inaniuma!

    Hypotheis yangu ni hii:jamaa anampenda sana huyo aliyemuoa. Wewe ulikuwa ni puching bag baada ya yeye kuumizwa na huyo aliyeolewa. Hakupendi,alikiwa anajisahaulisha matatizo yake tu hapo kwako. On the other hand,aliyeolewa ni opportunist. Anaangalia maslahi zaidi. Kwahiyo basi, jamaa(au ****??)...
  11. IronBroom

    Maana ya mfawidhi, mwandamizi

    Amavubi, kwa mantiki hiyo hiyo je,nikisema mhadhiri mwandamizi mfawidhi kwa maana ya yule mhadhiri mwandamizi mkuu wa wahadhiri waandamizi katika chuo kikuu fulani nitakuwa sahihi?Lengo langu ni kujipima kama nimeelewa ulichosema ama la.
  12. IronBroom

    Majina Matamu

    Kengo wa Dondo Jenerali Ulimwengu Dunia Mzoroba Makwaia wa Kuhenga Mawazo Lusonzo Dan Brown
  13. IronBroom

    Mishahara UDSM bado kizungumkuti...

    Hivi wewe si mnalo jukwaa lenu 'UDASA'.Kuhamishia mjadala huku maana yake nini?Are you seeking public sympathy?Msomi, unalialia..hao unaotarajiwa uwasemee wafanyanyeje? Matatizo ya kitaifa mpo kimyaa....hadi yawafike ndio mpanue madomo yenu.Usomi gani huu?BTW: unajua hali ya mishara kwenye...
  14. IronBroom

    Bikira inanitesa

    Lately, I have been ignoring the question as to whether JF is still what it used to be: the home of great thinkers. People like you keep giving me reasons to do the contrary. ...."nikigundua wewe sio bikira ata ungekuwa mzuri vipi huwa sishughuriki na wewe kwan naamini wew sio...
  15. IronBroom

    Uhuru Kenyatta as “Richest Person in Kenya” has stolen wealth; Forbes classification challenged.

    You are their subscriber. You have the right to write to Forbes and 'see their reaction'.
  16. IronBroom

    Kampuni ya sasatel yafilisika rasmi.

    Mkuu Ndahani, check your records. Teknolojia hiyo haikuwa na/au sio obsolete. Tanzania hapa inatumiwa na TTCL,Zantel(hawa wana mtandao wa GSM pia) na hawa Sasatel. Teknolojia inaitwa CDMA 2000 as a collection of standards. Ipo CDMA2000 1x, EV-DO na Revisions/Releases zake A,B... It is indeed a...
  17. IronBroom

    Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

    Looks like he is the one with the LTK...Katikati kabisa ya tukio na bastola yake juu, huku chini mtu(RIP Mwangosi) utumbo unasambaratishwa.....I need to be convinced otherwise.
  18. IronBroom

    Misamiati Mipya ya Kiswahili

    Mkuu Ngabu, tatizo la hawa wapya ni kutokusoma uzi wote. The #1 post is enough for them. Baada ya hapo anarusha tu bandiko lake.Thanks for correction and elaboration.
  19. IronBroom

    Picha - Dodoma Capital City ever green, mawe pambo maridhawa.

    Umesahau,pole. BTW: Dodoma sio evergreen. Huonekana hivyo kipindi fulani tu cha mwaka. Suala la fursa za kibiashara halina mjadala...things are now opening up at an amazing speed!
Back
Top Bottom