Mkuu,
Hongera kwa kuleta hii mada naomba nitumie huo mchanganuo kwenye e-mail yangu LORDTICAL@GMAIL.COM
Mengine naona itakuwa rahisi nikifika Kigamboni kujifunza zaidi.
Natanguliza shukrani.
In order...top to bottom.
1. Nchi moja, Serikali Moja.
2. Nchi Mbili, Serikali Tatu...haki sawa kila upande (arthi, makazi n.k).
3 Kila Nchi Kivyake...!!
KUREKEBISHWA..!!! Miaka 50 Kaka imepita, matatizo ya muungano yapo tuuu...Wizara nzima imeundwa kurekebisha lakini matatizo bado yapo...na kana kwamba yote hayakutosha Zanzibar wamerekebisha Katiba, Wamefanya Referendum, Imepitishwa na Baraza la Wawakilishi na hatimaye kujitambua kama nchi...
Mkuu,
Hili suala ni la muhimu sana sioni wadau wakiligusia...rasimu inatamka Serikali Tatu yaani Tanganyika imetakwa karibu kile ibara ya Rasimu...sasa wakianza na kukataa Serikali Tatu...bora kila mtu arudi makwao na huu mchakato wa Katibu ndio utakuwa umekufia hapo.
Uduni wa Elimu sio tusi, ila sishangai kwa nini unaona ni tusi kwa sababu chanzo ni Elimu mbovu. Hicho ndio kikwazo cha mambo membi ya msingi yanayoifanya Tanzania iende mwendo wa kusuasua kwenye mambo ya msingi, kuanzia Elimu yenyewe mpaka fujo na migomo ya EFD...hayo yote ni mazao ya elimu...
Wewe mwenye uwezo wa kufikiri ulio juu kabisa, ndiye unayekuja na kuiita wachangiaji wenzako puppets!!
Wewe mwenye uwezo wa kufikiri ulio juu kabisa, ndiye unayekuja na hoja kuwa hao waliopo nje hawastahili kuwa Watanzania kwa sababu WAO (unawajua wote) hawakusoma, akili zako za juu zinakufanya...
Binadamu ana tabia ya kuogopa sana jambo asilolijua...ndio picha ninayoipata hapa. Watanzania wachache wanaogopa sana suala hili la Uraia Pacha kwa sababu tu ya elimu duni inayopelekea wengi kufuata mkumbo. Inanikumbusha enzi zile ya Rais Mwinyi, Watanzania tulipoulizwa tunataka vyama vingi au...
Ndugu Wananachi;
Sekta zilizochangia sana katika kasi ya ukuaji wa uchumi mwaka 2013 ni pamoja na mawasiliano asilimia 20.6, huduma ya fedha asilimia 13.2, uzalishaji viwandani asilimia 8.2, madini asilimia 7.8, ujenzi asilimia 7.8, biashara asilimia 7.7 na uchukuzi asilimia 7.1. Bado kasi ya...
Hili swali la Field Marshall ES ni la msingi sana...lakini kwa sababu JF ya siku hizi imeingiliwa, ni mchangiaji mmoja tu amekuja na maoni yenye elimu, wengi hawalichukulii kwa uzito stahili...na-miss sana JF ile ya late 1990's mpaka Mid 2005.
Weekend Njema!
Wadau,
Leo nimeweza kuhudhuria Mkutano wa Sekta za Madini, Nishati na Miundombinu Tanzania - Indaba, uliofanyika Ukumbi wa J.K. Nyerere Convention Centre. Mojawapo ya mada zilizotolewa na wadau wa Madini na Nishati ni hii: MCHANGO WA SEKTA YA MADINI KATIKA UCHUMI WA TAIFA. Mada hii ilitolewa...
Wakati Serikali inajitahidi kutafuta ufumbuzi wa kilio cha Wananchi dhidi ya hii migodi kwenye suala la ulipaji kodi...Dr Kafumu yeye anatumia muda wake kuwatetea!!! Njaa ni mbaya sana, yaani Dr Kafumu amekuwa msemaji wa wenye migodi dhidi ya Serikali.!!!
Hizo kasoro mwandishi wa hii ripoti uchwara ameziona wapi wakati taarifa na takwimu zinapatikana kwenye mtandao kwa Wananchi wote kuona...!!??
Tanzania Minerals Audit Agency - TMAA | Publication / Report - TMAA Annual Report 2012
Nnauye Jr,
Heshima mbele.
Wewe ukiwa kiongozi wa chama hupaswi kuja kwenye jukwaa makini kama hili na kuleta porojo. Nakusihi sana laiti umeamua kuja hapa kutoa hoja zako basi ungetupa heshima stahili sisi wasomaji kwa kuja na ushahidi uliokamilika. Hii habari kutufanya wasomaji wa JF kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.