Yaani we acha tu! This Man was a gentleman, ninamfahamu kwa karibu sana na ninasikitika watu wakileta maneno maneno. Ameshafariki na hawezi kujibu mwenyewe lakini tunao mjua he had nothing na HR manager au mfanyakazi yeyote pale, what he did aliwapa uhuru ma managers wake wajiendeshe na hii ndio...
Mzee Baguma mwenye hizi hotel za JB Belmont Dar (Benjamin Mkapa Tower) posta mpya na ya Mwanza ametutoka ghafla hivi karibuni. Tupo kwenye mshtuko mkubwa.
Amefariki kwa matatizo ya kupumua chumbani kwake Hotelini Dar.
RIP Prof. J Mwaikusa, Inasikitisha sana kusikia mtu ametolewa uhai wake just like that! Poleni wafiwa
Mkj nafikiri huyo lawyer ni somebody Kapinga kama sikosei.
Mwanakijiji upo Jimboni nini unaweka mambo sawa?? Tuendelezee hii hadith basi maana utakuwa hujatututendea haki.
Kama mambo yenyewe ndio hivi na kura yangu hupati. Mtu tunasikilizia mpaka ............ zinaisha kha!
Nimekuaminia Mwanakijiji, kainzi hakachezi mbali
JK ateua mabalozi saba kushika nafasi mbalimbali
Rais Jakaya Kikwete ameteuwa mabalozi saba kushika nafasi mbalimbali katika balozi zetu nchini Sweden, Canada, Ehiopia, Paris-Ufaransa na Balozi wa Kudumu Kwenye Umoja wa Mataifa.
Katika uteuzi...
Hii dunia ya sasa hakuna waowaji / waolewaji watu tunakwenda tu mzobe mzobe.
Mwanamme akisema achukue mwanamke wa kijijini, basi huyo mwanamke mpe miezi kadhaa maana akikaa mjini kidogo anakuwa mtoto wa mjini kuliko wale ambao wameishi hapo. Hakuna siku hizi mtoto wa kanisani au msikitini...
Hadithi inaendelea kunoga, ahsante sana Mwanakijiji lakini chonde chonde isiishie hapo tafadhali.
Pia hadithi hii inatufundisha maisha halisi ya kwenye ndoa, usione watu wanacheka mitaani lakini wakiingia majumbani moto unawaka.
Ndio maana nyumba zinajengwa na mapaa, madirisha na milango kwa...
Pole sana kwa msiba, mwenyezi mungu akupe wewe na familia yako nguvu na amani katika wakati huu mgumu wa msiba.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe - AMINA
Mwanakijiji hongera!!!
Hii hadithi ni tamu.
Yaani umenichota akili mpaka siku ya leo mawazoni kwangu nafikiri ni Ijumaa kuumbe ni J'tano Loooooooooooooh!
Haya itaendelea lini? Maana I can't wait huo mlipuko watakapo kutana siku ya Jumamosi.
Ningejua wanaenda kukutana wapi I don't mind kwenda...
Mwanakijiji wewe ni kiboko!! Haya sasa tunatiana matamanio na majaribu.
Yaani hapa nimekutamani na nimeshajiweka mimi ndiye Clementina na wewe ndio mjamaika - patamu hapo.
Hapa sasa NN atatoka akilini Lol!!!
Yaani, Mimi nilifikiri umepata msg ukanitolea nje, maana katika mazungumzo na mkj alisema unataka picture na nikamtumia na hiyo ilikuwa mwaka jana mwanzoni, sikujua kumbe naye alikuwa na interest zake. Hamna wa kumuamini dunia ya leo na natumaini usingeweka hili bandiko
maana huko visiwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.