Habari
mimi ni member mpya, naomba ntumie nafasi hii kujitmbulisha.....
kweli bwana Thinkpad hata mimi nina tatizo hilo ka lako nimejaribu kutafuta jinsi ya kupost lakini nimeshindwa sasa nikapata hii reply to thread nikaona niitumie...
ama baada ya kujitambulisha nilikua nina ombi moja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.