Mwaka ule ambao Rais Keneth Kaunda alishindwa uraisi hakuamini kwamba anaweza kushindwa. Tume ilipotangazwa kushindwa kwake, aliondoka ikulu bila ya kujiandaa na kwa aibu kubwa. Baada ya wiki moja alipanda ndege kuja Tanzania na alipewa nafasi ya kuhutubia NEC-CCM na kuwaeleza kuwa "msiombe...
Hii ni ya 2005 sijui mwaka huu mahesabu yakoje
PartiesVotes%DirectAdditionalTotalseatsWomenseats seats Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party)7,579,8977020658264Civic United Front (Chama Cha Wananchi)1,551,24314.3191130Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and...
Basi hufai kuja hapa, nenda sehemu nyingie kama Clouds FM, Uhuru na Mzalendo, Daily News n.k.
lakini karibu:sorry::blah::bump::closed_2::lalala::banplease:
Tatizo CCM hawawezi kutoa Waziri Mkuu kwenye makabila "influential" - ukichukia haya shauri yako, japo haijaandikwa mahali bali huo ndio kumuenzi JKN (RIP).
Wakati mwaka 2005 kazi ya kutaja wabunge wa kuteuliwa na Rais kwa mujibu wa katiba ilikuwa rahisi mno kazi hiyo mwaka huu inaonekana ni ngumu na ndio itakayo mtoa au kumtosa kabisa JK.
Mwaka 2005 nafasi nyingi zilikuwa za "kulipa fadhila" mfano: yule zuzu Tom Mwang'onda, Yusuf Makamba, RC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.