Ni kwamba hata hapo Sudani kusini kama hatuna ubalozi basi incase ya tatizo lolote tunakwenda ubalozi wa Uingereza japo kuna ubalozi wa nchi jirani km Kenya na Uganda. Ndo maana nakuambia tafuta passport ya Tz uisome badala ya kubishana ndugu. Nilipokwenda huko Papua New Guinea pale Port Moresby...
Mkuu Uingereza ni Nci kubwa sana kwa kila kitu interms ya UCHUMI, KIJESHI na kiutamaduni. Kama wengine walivyosema UINGEREZA ipo kwenye G10, ni Nchi ya 6 kijeshi duniani na so far ndo mhisani wetu mkuu.
Kama una paspoti unaelekezwa kuwa endapo upo nchi ambayo haina ubalozi wetu basi tumia...
Wala Usijali Tanganyika ni Nooma! Si unakumbuka kwenye vita ya Kwanza ya Dunia tulizungukwa na maadui pande zote lakini tulipigana hadi mwisho wa vita. Tulijisalimisha tu baada ya Ujerumani kushindwa kule ulaya na kutuagiza tujisalimishe!
Hao wahuni waache wajaribu waone kile tulichomfanya NDULI...
Point kubwa Je hii habari ni kweli imetolewa na waziri au si ya kweli Othewise unapaswa kupunguza ushabiki katika mambo ambayo yako wazi na uwe anaytical mkuu!
Acha kuendeshwa na emotions!!
Pole sana ndugu! Hii hali unaweza kufanikiwa kuitatua endapo utapata ushauri wa Kisaikolojia na tiba kwa muda mrefu (psychotherapy) ambayo itasaidia kubadili mtazamo wako. Wataalam wa mambo ya akili wanapatikana hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kitengo cha magonjwa ya akili. Waone hao...
Wewe kukaa miezi miwili ndo imekuwa nongwa? Kuhusu Registrars Mbeya wapo Registrars waliosimamishwa, Residents wapo waliolimwa barua za Onyo na wakuu wa idara hapo MUHAS ila wasingeweza kuwafukuza kwa sababu wao ni wanafunzi wa MUHAS si MNH. Specialists walishiriki mgomo huo kikamilifu na si...
Guys mimi naishi kando ya Ziwa Nyasa na kwenye Ziwa Nyasa Tanzania ina meli zake kubwa Mbili (MV Songea na MV Iringa) na hizi meli zinasafiri toka Itungi Kyela hadi Mbambabay Ruvuma kwa zaidi ya masaa 18 majini! na hizi meli zinapita kilindini kabisa kiasi cha kwamba abiria ndani ya meli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.