We call them failed billionaires and Failed millionaires,Je Tanzania tutafuata mfano kwa kumfikisha RA mahakani?
BBC NEWS | Americas | Billionaire Stanford 'not guilty'
I cant wait kuona sheria inafuata mkondo kwenye swala la RA
Samahani kama nimekugusa, But the origin ya Hilo Jina ni Congo Mzee. So when walihamia Tanganyika , I dont know but if we want to pick people names by their origin I think kama ulivyosema hapo nyuma hatutakuwa na Viongozi.
Kipindi cha Nyerere swali la uraia halikuwa swala Kubwa kama ilivyo sasa, Watanzania wengi tumeshaamka na tunajivunia Uraia wetu, haikuwa hivi miaka ya zamani.
Nazani kwa mtu kama Mkasa amabaye historia yake iko wazi ni rahisi kumkubali kama Mtanzania bila kinyongo chochote, Kwa kweli mchango...
The owner of Otterlo Business Company (OBC), a Brigadier General Mohammed Abdulrahim Al-Ali from the United Arab Emirates called "the Arab," received a ten-year permit to hunt in Ololosokwan and ten neighbouring villages. In return, according to Government regulations, OBC is required to pay...
Tatizo hawa watu wamepoteza credibilty kiasi kwamba hata kama wakitaka kufanya kitu credible tunaona yale yale.
Cha muhimu kabla hawajaweka pesa yoyote kiwira ,question ya Ownership lazima iwe very clear ili tujue kama ni yale yale au they doing it for public intrests.
This Day reported that Government of Tanzania has announced plans to bail out the privatized Kiwira Coal Mine, which has failed to generate the expected 200 MW of electricity despite signing a lucrative USD 271 million power purchase agreement with the public utility TANESCO.
Mr William Ngeleja...
So kama unajua the connection unamtisha nani? Kila siku unaingia na vitisho sana hapa ndani, kama wewe ni techonologist wa mafisadi ambaye kazi yako ni kuwa track down wanaharakati tutaku defeat very soon. Sio mara yako ya kwanza kuongea huu utumbo na vitisho, weeknd njema, But we have warned u
Pale Idara ya Vizazi na vifo yazamani ya mama kaisi, Ilikuwa na utaratibu mbovu sana uliojazwa Rushwa, Ilkuwa pale nyuma ya Bilicanas, Pale nje ya Billicanas kulikuwa na viofisi vya kitapeli vingi sana nazani vipo mpaka leo, Hivi viofisi vilikuwa vinaendesha shughuli nyingi za kizushi, Mtu...
No one Cares Kwasababu watoto wao wanakula na kulala pazuri,
No one cares because they sure we cant touch them,
No one cares because they think of short term impact of their political career ,
No one cares because mioyo yao inawasuta kwa pesa walizoshirikiana kuiba na RA,
No one Cares because...
Tukiamka asubuhi, tunamwombea kwa Mungu Mheshimiwa Rais aongoze kwa haki, tunaomba Mungu ampe busara na maalifa, Maombi yetu yananguvu.
I think we heading to the right direction, kwasisi kuanza kugundua mapungufu yetu na kuyakosoa, is a step ahead.
Siasa zetu ni ngumu sana, But I believe...
This is tell us a lot on the approach, we should use if we want to see the president take seriously the Corruption isuues, I think instead of ducking to other small fishes we should take him on , going back to his history when he was a minister of Minerals .........
We want to support him but...
The Nairobi Chronicle reports that a Tanzanian blogger faces jail after publishing manipulated photographic images depicting Tanzanias President Jakaya Kikwete engaging in lewd sex acts.
According to Habari Leo, a Tanzanian newspaper[sw] the countrys police are seeking help from Interpol in...
Maneno yenu ni very hurt feeling kwa mzee sumaye, kila akiskia mtu anasogelea ile nyumba yetu magogoni anaona da sio kabisa kule. Yaani kajinyima raha zoteee harafu asiwe rais , punguzeni jamani
You never know , Inawezakana anamjua mwenye Richmond na inawezekana bado anapeta serikalini kwahiyo anaweza akaja na come back kwa kutupa ukweli, siasa mchezo mchafu.
Safari bado ndefu
Ikulu yamuonya Reginald Mengi
*Yamtaka aheshimu vyombo vya dola
*Yasema athibitishe tuhuma alizotoa
*Yakanusha taasisi zake kumuandama
*Jeshi la Polisi latamka kumchunguza
Na Waandishi Wetu
SIKU moja baada ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Reginald Mengi...
Hawa kina andrew Mushi ndio wamekuwa wakitumika kama toolbox pale TANGO kupitisha hoja za serikali ki ulaini bila kuhoji maswali magumu kwenye Public Expenditure Review , na sikuhizi Hizo NGO ndio zimewekwa mfukoni than before through utaratibu mpya wa Basket Funds, Ukiangalia Tanzania serikali...
its sad! inapunguza sana ufanisi, ukienda tu faili lako linachukua 2 hours kutafutwa, au unaambiwa utafute mwenyewe.wanapata pesa za kutosha walitakiwa wafanye computerazation .......tutafika tu mzee
Sio siku zote chuki binafsi ni mbaya inategemea unamchukia nani. sijui kama unamfahamu unayemtakia mema, ungemjua ungeungana kwenye kundi unalo liiita chuki binafsi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.