Wewe tifautisha kati ya kurekebisha vifungu na kujenga hoja,siku zote marekebisho yake wabunge siooo ila hoja inaletwa bungeni, inajadiliwa,watu wanawajibika Hiyo ndo kazi ya Zito kama hauamini kaombe hansad bungeni utayapata yote kuhusu hoja hasa za zito.
Lord denning
Unadhani JK angesema nini wakati ulisikia kuwa kuna pesa zingine zilichotwa ikulu, na huhongo ndiyo ametajwa kuwa kibaraka, hakuna fisadi yeyote anaekubali kuwa kachukua. Hivyo Muhongo sikatai kuwa anaweza kuwa mtaalam, lakini asiwe msafi, kama wagombea wengine waliojitokeza na...
wewe wa kuchanja usoni huna jipya, yeye kaona utoto mwingi kwani angetaka si angekata rufaa ya juu zaidi, lakini akaona haina haja ya kufanya hivyo siku akaona zimeisha uwezo anao wa kurudi bungeni, hata mil.238 hazitaki, dira yake ni aendelee kusimama juwaani bila kuwa kwenye SACCOS mnayo...
dah nakusikitikia sana, yaani huo ndo mtazamo wako na ukamaliza akili zako zote kujinasibu kuwa lisu na zito zaidi ni lisu labda kwa sheria kwani wote wana uwezo katika fani zao lakini sio siasa. lisu anaropoka hana hoja.
Mi nilikuwepo ki ukweli, kama demokrasia yenyewe ndiyo hii kwa wana Tunduma watakufa kwa ushabiki usio na tija hii mipango chama kingine kudhani wanaweza shika hatamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.