Wachezaji wanajituma ila tu hakuna kiongozi uwanjani wa kuituliza timu ikiwa na presha na ule utulivu katika final third haupo ila ni swala la muda tu timu itakaa sawa
"Kosa jingine kumtimua Gomes kwani hata atakaye kuja atahitaji mda wa kuijenga timu,bora mngemwacha na kumpa time frame ya mechi kama tano, then kama hasinge deliver ndipo mngemtimua"
CC joseph1989
Didier Gomes Da Rosa amefukuzwa au kuvunjiwa mkataba wake baada ya kuvunjika kwa miongoni mwa...
Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!
MSIMU JANA
(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1
MSIMU HUU
(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0...
Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!
MSIMU JANA
(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1
MSIMU HUU
(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0...
Biashara yao Ilikua GG Fella alikua anafaidika lakini Hata YAMOTO walinufaika chief, Financial na hata kukuza majina yao Kwan hadi leo ugali wao ni mchango wa fella kuwapa majina
🚨 Thomas Tuchel full pre #MALCHE UCL Match conference
▪️Tuchel confirms Mount, Lukaku, Werner and Kovacic all out. Chelsea have tested him for Covid and he is negative, he is just ill.
Tuchel confirms what I said that Pulisic is back.
▪️Tuchel on Gilmour being recalled from Norwich: "We will...
El Fenómeno - Ronaldo Lima Between The Age of 16 to 21 was UNREAL. 🤯🔥
— Scored 186 Goals & was Involved in 225+ Goals for Club & Country in His First Five Seasons as a Professional Player. 🥵🔥
— Won The Fifa World Cup 1994 & Was The Runner-up at The Fifa World Cup 1998 🏆🥈
— Was The Runner-up...
''MKUBWA FELA ANASTAHILI SANAMU YA HESHIMA.
Usiku wa jana sijalala kabisa, kwani nilizongwa na kumbukumbu ya safari ya Muziki na maisha.
Mbali ya kuwakumbuka watu wengi, Kichwani mwangu ilikuja picha ya darasa lenye Watoto Wanne wenye Masauti yanayogonganisha mashairi yasiyochosha.
Ni kweli...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize 11.8M
5. Zuchu 11.4M
6. Mbosso 11.3M
7. Lavalava 4.77M
8. Nandy 4.73M
9. Macvoice 3.1M
10. Marioo 2.9M
Mbaga III andiko lako lilikua zuri sana nililicopy bila ruhusa yako(sorry for this) nikampatia mdogo angu flan nae yuko chuo baada ya kusoma amebadilika kwa kiasi kikubwa chief ingawa hujapewa zawadi ila wewe ni mshindi mwana Chelsea mwenzangu 😂kura yangu ulipita nayo chief hata kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.